Nimepigwa Ban Whatsapp naomba msaada

jang

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
1,414
Reaction score
1,192
What's app yangu imepigwa ban,hii ni kutokana na nilikuwa nataka kuweka what's app plus.

Nifanyaje wakuu ili ifanye kazi kawaida?

Shukrani.
 
What's app yangu imepigwa ban,hii ni kutokana na nilikuwa nataka kuweka what's app plus.nifanyaje wakuu ili ifanye kazi kawaida??shukrani

pole sana...ungeuliza kwanza ushauriwe ..hamna solution hapo zaid ya kua mpole tu mpka ban iishe..
 
Tatizo imeisha thn ikaanza tena mkuu
 
Usitumie unofficial Apps zozote za WhatsApp. Futa hiyo WhatsApp plus kisha install official version kutoka play store, ngoja ban iishe then utaweza kutumia kama kawa.
 
Mi nitaacha kuitumia watakapoanza kunitoza ushuru maana imebaki miezi kumi, alafu awali walinambia wananipa mwaka mmoja wa kutumia bure na sasa umeisha wakaniongezea miezi 10
 
What's app yangu imepigwa ban,hii ni kutokana na nilikuwa nataka kuweka what's app plus.

Nifanyaje wakuu ili ifanye kazi kawaida?

Shukrani.

ndio ukome
 
Duuh! Kumbe hadi whatsapp inapiga ban watu?

ww tatizo umerudisha tena plus ndo mana umepigwa tenA.. chakufanya
chukua pluss hii apa baada ya ban kuisha.. http://forum.xda-developers.com/android/apps-games/how-to-remove-ban-whatsapp-plus-6-76-t3011109
 
Si mshauri mtu atumie version yoyote tofauti na official maana WhatsApp wana andaa Banning tool nyingine, bora ubaki na official tu

mkuu ndo whatsapp walivosema? naomba source mkuu...mimi nishakua addicted na plus.
 
hawawezi kamwe mkuu, wao watulie tu, na sasa hivi whatsapp+ wametuwekea na kupiga aimu ndo basi tena, na wamehama katika mfumo wao wa awali
 
pluss ina support kubwa kutoka kwa vichwa vya XDA nadhan unawajua hawa jamaaa..wapo vzur sana..whatsapp watulie tu mana jamaaa hawafai
 
ww tatizo umerudisha tena plus ndo mana umepigwa tenA.. chakufanya
chukua pluss hii apa baada ya ban kuisha.. http://forum.xda-developers.com/android/apps-games/how-to-remove-ban-whatsapp-plus-6-76-t3011109

mbona haidowlaod mkuu
 
aisee wakuu inabidi mnipe darasa fupi kuhusu whatsapp and whatsapp+ .mi naijua hiyo ya kwanza tu.
 
Mjihadhari kudownload aps msizojua zinapotoka, itakuja kula kwenu!
 
Mi nitaacha kuitumia watakapoanza kunitoza ushuru maana imebaki miezi kumi, alafu awali walinambia wananipa mwaka mmoja wa kutumia bure na sasa umeisha wakaniongezea miezi 10
Mkuu itabdi uwachangie tu hiyo 0.99 usd yao muda ukifika la sivyo watakupga life ban.
 
mkuu ndo whatsapp walivosema? naomba source mkuu...mimi nishakua addicted na plus.
Mkuu wewe endele kutumia tu, jua kua whatsapp hawawezi kusema kua tunaandaa Banning tool mpya ila kuna developer alisema kua ni bora watu wahamie official tu maana jamaa wanajipanga upya kwasababu hii banning method wameijulia ujanja, pia jua kua developers wanafunguliwa kesi kwa sababu hii ya WhatsApp plus
 
hawawezi kamwe mkuu, wao watulie tu, na sasa hivi whatsapp+ wametuwekea na kupiga aimu ndo basi tena, na wamehama katika mfumo wao wa awali
Hawawezi kamwe nini? huyo OsmoDroid ipo siku ataacha tu kudevelop hiyo WhatsApp Plus Reborn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…