Umenena vyema aisee nilikuuliza kusudi kwa kuwa kuna mtu humu aliniambia maneno yasio na staha. Sasa ajiulize watu wamepata mpaka link na kutengeneza namba za kutrace na ukiingiza inakupeleka uko uko alafu unasema DHL haiwezi kuwa hacked. Apo ao wezi walianza kuchezea hizo link za DHL ndipo wakapata namna ya kuingiza watu moja kwa moja ktk mfumo wanaoujua wao, cha msingi ni mamraka husika kuchukua hatua mara moja na DHL pia wanatakiwa kutoa maelezo juu ya hilo jambo