Nipo dar es salaamupo mkoa gani mkuu?
hapana mm sio mjuzi wa kupika. Ila kazi nyingine yoyote nafanyaUkikabidhiwa mtaji wa mama mntilie utapiga kazi?
Usichague kazi😌hapana mm sio mjuzi wa kupika. Ila kazi nyingine yoyote nafanya
Basi uje ukae kwenye kibanda cha mpesahapana mm sio mjuzi wa kupika. Ila kazi nyingine yoyote nafanya
Duhh pole sana sana maisha magumu kinoma kwa graduates. Kama unaweza kurudi kw wahindi rudi ila kwa hiyo laki mbili kwa mwezi ni shida asiee.Habari wakuu, mwaka juzi baada ya kumaliza chuo na kukosa kazi ya nilichosomea, nikaanza kufanya kazi ya receptionist ktk hoteli ya wahindi. Sijawahi fanya kazi ngumu km ile kwanza hamna off kilasiku kazini afu ni night shift tu ila nilivumilia sababu ya shida zangu, hawalipi vuzuri sn mshahara ni laki mbili tu kula na nauli juu yako. nimefanya mpaka mwaka jana mwezi wa 11, nikabahatika kupata kazi nyingine ni hizi tigo shop ndogo, kwakua nilikua nimechoka na ile kazi ya wahindi nikaona niondoke, ila najuta kukurupuka kwani ningefikiri kwanza maana hii ofisi niliyoiendea ni mpya kabisa ndo imeanza na mm km mfanyakazi wa 1. Boss mpya tulikubaliana atanilipa laki 3..sasa tatizo hii tigo shop ni mpya na imefunguliwa location mbaya hamna wateja kabisa, tokea nimeanza kazi sijawahi kulipwa mshahara boss anasema mpk duka lianze kuingiza hela, Mwezi wa 11 alinipa elfu 50 na wa 12 ni hivyovyo, kilasiku natumia 3000 toka mfukoni mwangu ya nauli na chakula.
Maisha ni magumu sn nahitaji pesa nimepanga, mama yng ananitegemea..sasa nilikua nauliza ni kweli mtu akifungua biashara ni mpk ianze kumlipa ndo mfanyakazi alipwe au anatakiwa akubali kuingia hasara miezi ya mwanzo anilipe mfukoni mwake? Na la pili nilikua nafikiria kuomba kurudi kule kwa wahindi japo nilikua nachoka lkn sina jinsi maana familia inaniangalia, nimejaribu kutafuta kazi nimekosa, je kurudi kule ni uamuzi sahihi? Naombeni ushauri ndugu zangu.
Habari wakuu,
Mwaka juzi baada ya kumaliza chuo na kukosa kazi ya nilichosomea, nikaanza kufanya kazi ya receptionist ktk hoteli ya wahindi. Sijawahi fanya kazi ngumu km ile kwanza hamna off kilasiku kazini afu ni night shift tu ila nilivumilia sababu ya shida zangu, hawalipi vuzuri sn mshahara ni laki mbili tu kula na nauli juu yako. nimefanya mpaka mwaka jana mwezi wa 11, nikabahatika kupata kazi nyingine ni hizi tigo shop ndogo, kwakua nilikua nimechoka na ile kazi ya wahindi nikaona niondoke, ila najuta kukurupuka kwani ningefikiri kwanza maana hii ofisi niliyoiendea ni mpya kabisa ndo imeanza na mm km mfanyakazi wa 1. Boss mpya tulikubaliana atanilipa laki 3..sasa tatizo hii tigo shop ni mpya na imefunguliwa location mbaya hamna wateja kabisa, tokea nimeanza kazi sijawahi kulipwa mshahara boss anasema mpk duka lianze kuingiza hela, Mwezi wa 11 alinipa elfu 50 na wa 12 ni hivyovyo, kilasiku natumia 3000 toka mfukoni mwangu ya nauli na chakula.
Maisha ni magumu sn nahitaji pesa nimepanga, mama yng ananitegemea..sasa nilikua nauliza ni kweli mtu akifungua biashara ni mpk ianze kumlipa ndo mfanyakazi alipwe au anatakiwa akubali kuingia hasara miezi ya mwanzo anilipe mfukoni mwake? Na la pili nilikua nafikiria kuomba kurudi kule kwa wahindi japo nilikua nachoka lkn sina jinsi maana familia inaniangalia, nimejaribu kutafuta kazi nimekosa, je kurudi kule ni uamuzi sahihi? Naombeni ushauri ndugu zangu.
Atakua analala mda gani sasa hapo mkuuJitahidi kupanua zaidi uwezo wako!...
Kwamba unaingia night shft...! Hangaika pigana uwezavyo mchana uwe na shughuli yyt ya kukuingizia hata mia mia! Usibweteke!
Siku zote hutakosa njia ya kutokea!
Kila la heri usikate tamaa
HahahahaKwanza suala la kuchoka, kuonewa au kutotendewa haki unapaswa kulitoa akilini mwako.
Pili, Kama unaweza rudi kwa hao wahindi bila kuacha kazi hapo Tigo Shop na kama watakukubalia; fanya kazi.
Yaani nenda kwa wahindi ( kama ulivyosema ni Night Shift ).
Then, Njoo ulale ofisini Tigo Shop ( Kama ulivyosema hakuna wateja kwa sasa ).
Kwa muktadha huo hapo Tigo Shop mambo yakikaa sawa, then unaacha huko kwa wahindi.
Ni Ngumu lakini Inawezekana