kyannala nabiso
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 645
- 143
Vijana wa siku hivi wanapenda vyabure acha viwatokee puani.
we nenda...ukishuka tu kweny bus...piga simu afu angalia nani atapokea...ukiona magumashi sepa fasta...unalala zako lodge unachapa mwendo kesho yake...au nauli ya kurudia pia huna?