Mkuu umeua!Hata mimi kuna mdada nahisi anawivu na huenda ananizimikia ila tu huwa hasemi na haishi kunifanyia visa.
Yaani kuna wakat nikimpigia simu mke wangu, huyo mdada huwa anapokea haraka haraka halafu huishia tu kusema "The subscriber you're calling is not available at present, please try again later"...
prove...Afu nyie vjana mnamatatizo sana hivi unaanzaje kumwambia mtu unampenda cku moja ama mbili tena bila kumfahamu? Kisa amekosea ama umekosea no? Kuna limtu hivyhvyo lilikosea likanipgia cku 2 tuu ooh vimeenda vmerudi madohido mengi! Kah nilimkomesha hakurudia tena ujnga wake!
Mimi nilikosea namba Ivo Ivo Ilikua 2007 akapokea mdada wakati huo alikua kidato cha tatu mimi kidato cha tano.....
nenda tu huko Arusha ili mpendane vizuri. ila ukikuta ni umri wa mamako mzazi usije tena hapa kulalamika.
Mmh hizi mambo za kumpenda mtu usomjua sio...
niliwah kuchat na jamaa ana saut nzur yan nkitok nae napga pcha jamaa mrefu,handsome,ana body ya kiume kuja kumuona uwii yupo kama ndizi sukari,ana upara,kichwa chake kama cha chepe nyg zote kwisha!
nilikua nimenuna kweli,ila imebd nicheke2!...,wadau kwa kupaka mbovu hamjambo!..,asante kwa kuniongezea uhai bana!