Nimependwa,nimependa mtu simjui

Nimependwa,nimependa mtu simjui

Joined
May 29, 2013
Posts
25
Reaction score
8
Habar zenu wana jamiiForum nilikuwa naomba mnipe ushaur kuhusu hili-:Kuna siku wakat napiga simu nikakosea namba moja tu akapokea msichana kama mnavyojua vijana kupokea nikamwambia kuwa nakupenda akakataa kabisa baada ya kupita siku 2 nikampigia tena ndipo nilipomwambia tena akakubali nikamuuliza unaishi wapi akaniambia anaishi arusha me nikamwambia nipo dar nikamuuliza una mpenzi?akajibu alishakuwa nae ila ana miaka 3 mpaka sasa hajawahi kumwona na akipiga simu yake haipatikani nikaendelea tena kumuuliza unaishi na nani akajibu naishi na wazazi wangu ila mara kwa mara huwa zikapita wiki mbili akaniuliza unakuja lini nikamjibu nikipata nafasi nitakuja tukaendelea na mazungumzo ya kawaida siku zikaendelea kupita
 
Una umri gani mkuu? manake haya ya ki kid
 
Ha ha ha ha ha ha
Kuna siku kitoto itakuwa na 'pampazi zangu zimepotea'
 
mmmmm...mkuu ngoja nikupe kisa,kipindi flani nikiwa mwanachuo nilikoseaga number,akapokea dada ana sauti nzuri kweli,baada ya kumwambia nimekosea samahani tukawa tuna wasiliana tu as a friend,ila yeye alikuwa tanga mimi arusha siku zikaenda kweli siku moja nikatamani nimuone cse she was so caring kwenye simu na mashalaa sauti yake mwee basi tama zikanizonga,basi siku moja mtoto akaniambia yuko korongwe mbaba mfrom arachuga nikapanda basi huyo korongwe,nikafika kwa sisi wasanii bana tunapilika nyingi.nikashuka kimya kimya nika jificha mahali afu nikapiga simu ili nimuone kwaza.....yechu wangu nilijuta,kulikuwa nikidemu kibibi,kimekomaa mbaya yele uwii.nikasema nasepa hakikutani na mimi,ila unajua maraster tumeumbwa na roho ya tofauti,nilifikiria mambo mengi sana mwisho wa siku nikaenda kukutana nae nikala nae lunch huwezi amini sehemu nilio kuwa nime kaa nae watu walikuwa wanatushanga cse nivitu viwili tofauti sana.nikamwambia naelekea lushoto so nikirudi tutaonana,nikampatia nauli akasepa ika bidi kidume nilale korongwe.ila just smtm nikawa nampigia akiwa na matatizo na msaidia nikamfanya awe dada wa iyari.so KAKA TAKE CARE SANAA
 
Habar zenu wana jamiiForum nilikuwa naomba mnipe ushaur kuhusu hili-:Kuna siku wakat napiga simu nikakosea namba moja tu akapokea msichana kama mnavyojua vijana kupokea nikamwambia kuwa nakupenda akakataa kabisa baada ya kupita siku 2 nikampigia tena ndipo nilipomwambia tena akakubali nikamuuliza unaishi wapi akaniambia anaishi arusha me nikamwambia nipo dar nikamuuliza una mpenzi?akajibu alishakuwa nae ila ana miaka 3 mpaka sasa hajawahi kumwona na akipiga simu yake haipatikani nikaendelea tena kumuuliza unaishi na nani akajibu naishi na wazazi wangu ila mara kwa mara huwa zikapita wiki mbili akaniuliza unakuja lini nikamjibu nikipata nafasi nitakuja tukaendelea na mazungumzo ya kawaida siku zikaendelea kupita[/QUOTE
:A S 112:Ebu nenda kamalizie homework uliyopewa ya hesabu za K.K.S na K.D.S usitupotezee muda!
 
Hata mimi kuna mdada nahisi anawivu na huenda ananizimikia ila tu huwa hasemi na haishi kunifanyia visa.
Yaani kuna wakat nikimpigia simu mke wangu, huyo mdada huwa anapokea haraka haraka halafu huishia tu kusema "The subscriber you're calling is not available at present, please try again later"...
 
Mimi nilikosea namba Ivo Ivo Ilikua 2007 akapokea mdada wakati huo alikua kidato cha tatu mimi kidato cha tano...nikaomba samahani kwa kukosea akajibu Poa ila akawa mcheshi tukaulizana mawili matatu then ikaisha...the next day akanipigia...basi tukawa tunasalimiana tunashauriana maisha yakaenda ilipofika likizo akarudi Dar (alikua anasoma znz)...akaniomba tukutane kwa kuwa nlishamzoea nikatimba upanga nikamuona mtoto mzuri sema nlikua sijawaza kumpenda ila nilivyozidi kuonana nae tukafanya mambo mengi nikajikuta nampenda...tulidumu miaka mitatu urafiki tuu!nikawajua ndugu zake akawajua wangu na wote waliheshimu urafiki wetu...nikiwa mwaka wa pili chuo nae akawa ameanza chuo (Certificate hapa mjini) tulijikuta uzalendo umetushinda tukaanza mapenzi mpaka Leo hii ni mpenzi wangu na Nina ishi nae Poa sana....
Ushauri Usijali namna unavyokutana na mtu...jipe muda tuu utajua mbivu na mbichi....
 
Mmh hizi mambo za kumpenda mtu usomjua sio...
niliwah kuchat na jamaa ana saut nzur yan nkitok nae napga pcha jamaa mrefu,handsome,ana body ya kiume kuja kumuona uwii yupo kama ndizi sukari,ana upara,kichwa chake kama cha chepe nyg zote kwisha!
 
nenda tu huko Arusha ili mpendane vizuri. ila ukikuta ni umri wa mamako mzazi usije tena hapa kulalamika.
 
Hata mimi kuna mdada nahisi anawivu na huenda ananizimikia ila tu huwa hasemi na haishi kunifanyia visa.
Yaani kuna wakat nikimpigia simu mke wangu, huyo mdada huwa anapokea haraka haraka halafu huishia tu kusema "The subscriber you're calling is not available at present, please try again later"...

haahaahaa! Dah! Umenichekesha wewe!
 
Mmh hizi mambo za kumpenda mtu usomjua sio...
niliwah kuchat na jamaa ana saut nzur yan nkitok nae napga pcha jamaa mrefu,handsome,ana body ya kiume kuja kumuona uwii yupo kama ndizi sukari,ana upara,kichwa chake kama cha chepe nyg zote kwisha!

haha! Dah pole!
 
Afu nyie vjana mnamatatizo sana hivi unaanzaje kumwambia mtu unampenda cku moja ama mbili tena bila kumfahamu? Kisa amekosea ama umekosea no? Kuna limtu hivyhvyo lilikosea likanipgia cku 2 tuu ooh vimeenda vmerudi madohido mengi! Kah nilimkomesha hakurudia tena ujnga wake!
 
Habar zenu wana jamiiForum nilikuwa naomba mnipe ushaur kuhusu hili-:Kuna siku wakat napiga simu nikakosea namba moja tu akapokea msichana kama mnavyojua vijana kupokea nikamwambia kuwa nakupenda akakataa kabisa baada ya kupita siku 2 nikampigia tena ndipo nilipomwambia tena akakubali nikamuuliza unaishi wapi akaniambia anaishi arusha me nikamwambia nipo dar nikamuuliza una mpenzi?akajibu alishakuwa nae ila ana miaka 3 mpaka sasa hajawahi kumwona na akipiga simu yake haipatikani nikaendelea tena kumuuliza unaishi na nani akajibu naishi na wazazi wangu ila mara kwa mara huwa zikapita wiki mbili akaniuliza unakuja lini nikamjibu nikipata nafasi nitakuja tukaendelea na mazungumzo ya kawaida siku zikaendelea kupita

Nani kakwambia huyo msichana anakupenda? Wewe mwenyewe humpendi ila umependa hiyo sauti yake. Achana na haya mambo ya mapenzi, wakati wako ukifika utaelewa nina maanisha nini tulia kwenye shughuli zako ukuwe kwa kimo, akili na busara ya kupambanua mambo.
 
Back
Top Bottom