Nimependa uimara na uthubutu wa jeshi la zimbabwe.

Nimependa uimara na uthubutu wa jeshi la zimbabwe.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,094
Nataka kusema Zimbabwe wana jeshi ambalo ni imara makini,na lenye kutumia weledi wake wote katika kuona nchi yao haiendi au kuendeshwa katika mfumo ambao utakuwa ni kinyume kwa kile walichojipangia kwa mujibu was katiba yao.
Nalisifu jeshi hilo busara kuwa waliyoichukuwa pia kukinusuru chama tawala cha nchi hiyo dhidi ya mparaganyiko ambao ungeweza kutokea,
Pia niwasifu kwa kumuhifadhi vyema kiongozi was taifa hilo huku wakimuheshimu kama baba wa taifa lao,japo zipo fununu mama amesha kwenda zake Namibia,
Logic kuu ya Uzi huu ni jinsi walivyoweza kumzuia rais Mugabe dhidi ya kutotoa kauli yoyote,maana kauli yake ndogo sana ingeliweza kuliweka taifa hilo katika machafuko makubwa,ikumbukwe ndani ya jeshi lao kuna wanajeshi ambao huwezi waeleza chochote Juu ya upendo wao kwa rais mugabe,kundi hilo ndilo lingeweza kusababisha mgawanyiko ndani ya jeshi / Hivyo kuzua mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Bado sijaelewa walimaanisha nini kupeleka vifaru mjini Harare.
 
Na wengine Africa wajifunze kupitia hili unavyoongoza watu jua unawatumikia wao sio waanze kukuabudu wewe mungu? angejieshimu angeondoka kwa heshima kubwa Sana
 
Back
Top Bottom