John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,029
Watu wanasema ukweli halafu ninyi eti mnasema vijembe.
Huyu Lowassa ni fisadi na mgonjwa sana.
Unataka ajibu nini wakati anaambiwa ukweli.
Mzee ana nyota ya kupendwaHivi ninyi nani aliyewaroga. Hamjui kuwa huyo mzee kachoka sana na hana uwezo wa kuongoza. Kachoka mwili hadi fahamu ndo mana anarudiarudia sera za ccm
Lowassa ni master mind,
Ukifuatilia kwa makini siasa za mh Edward Lowassa utaona tofauti kubwa sana kati yake na wanasiasa wengine, lowassa amekuwa mhanga wa matusi, kebehi, kashfa na siasa za maji taka.
Lakini kinachonifurahisha kuhusu huyu bwana, hakuna hata siku utamamsikia akimjibu mtu, akimtupia dongo, akimuongelea mtu. Lakini wanasiasa wengine hasa wa ccm, wamesahau kunadi sera zao na kubaki wakimjadili yeye tu na kusahau sera ya vyama vyao. Mtego huo ameingia na magufuli, amebaki akitumia muda mwingi akimuongelea lowassa!! Wakati lowassa anaongelea wakulima wasikopwe, wazee wapewe pension nk.
Nimependa siasa za Lowassa, hasa kwa sababu hamjadili mtu anajadili issues.
Siyo kila kitu lazima uige jitahidi kubuni cha kwako.Watanzania bwana hizo sera anazozisema kwa dakika kumi ni zipi?ulishaona wapi katika chaguzi barani africa tu mgombea ananadi sera dakika kumi?na hata kwa nchi zilizoendelea ulishawahi ona mgombea anaongea dakika kumi kunadi sera?tuache ushabiki hata kama unahitaji mabadiliko angalia hayo mabadiliko yanapatikanaje sio alimradi mabadiliko.
Ni mfano wa watu kupambana na kutokata tamaa
Watu wanasema ukweli halafu ninyi eti mnasema vijembe.
Huyu Lowassa ni fisadi na mgonjwa sana.
Unataka ajibu nini wakati anaambiwa ukweli.
Magufuli kaongopa ukawa hawana ilani..Kwani umemsikia magufuli akimtukana mtu? Analysisi yako ni mbovu. Unamuongelea Lowasa vis a vis CCM wote. Mbona humuongelie Lowasa na Ukawa nzima vis a vis CCM yote. Matusi ya Mbowe, Hiza hukuyasikia?
Watanzania bwana hizo sera anazozisema kwa dakika kumi ni zipi?ulishaona wapi katika chaguzi barani africa tu mgombea ananadi sera dakika kumi?na hata kwa nchi zilizoendelea ulishawahi ona mgombea anaongea dakika kumi kunadi sera?tuache ushabiki hata kama unahitaji mabadiliko angalia hayo mabadiliko yanapatikanaje sio alimradi mabadiliko.
Ukifuatilia kwa makini siasa za mh Edward Lowassa utaona tofauti kubwa sana kati yake na wanasiasa wengine, lowassa amekuwa mhanga wa matusi, kebehi, kashfa na siasa za maji taka.
Lakini kinachonifurahisha kuhusu huyu bwana, hakuna hata siku utamamsikia akimjibu mtu, akimtupia dongo, akimuongelea mtu. Lakini wanasiasa wengine hasa wa ccm, wamesahau kunadi sera zao na kubaki wakimjadili yeye tu na kusahau sera ya vyama vyao. Mtego huo ameingia na magufuli, amebaki akitumia muda mwingi akimuongelea lowassa!! Wakati lowassa anaongelea wakulima wasikopwe, wazee wapewe pension nk.
Nimependa siasa za Lowassa, hasa kwa sababu hamjadili mtu anajadili issues.
Ni mwanasiasa mkomavu sana. Ndiyi sababu kura yangu anaipata mapema sana asubuhi oct 25Ukifuatilia kwa makini siasa za mh Edward Lowassa utaona tofauti kubwa sana kati yake na wanasiasa wengine, lowassa amekuwa mhanga wa matusi, kebehi, kashfa na siasa za maji taka.
Lakini kinachonifurahisha kuhusu huyu bwana, hakuna hata siku utamamsikia akimjibu mtu, akimtupia dongo, akimuongelea mtu. Lakini wanasiasa wengine hasa wa ccm, wamesahau kunadi sera zao na kubaki wakimjadili yeye tu na kusahau sera ya vyama vyao. Mtego huo ameingia na magufuli, amebaki akitumia muda mwingi akimuongelea lowassa!! Wakati lowassa anaongelea wakulima wasikopwe, wazee wapewe pension nk.
Nimependa siasa za Lowassa, hasa kwa sababu hamjadili mtu anajadili issues.
Umeona mkuu jogi eeh? Anavyoisoma taratibu ndio tunamuelewa.
Zile papara za Magufuli hadi anasema Watanzania wakichagua upinzani nchi itageuka kama Libya ndio sifa?
Taratibu ndio mwendo, na Lowassa anachanja mbuga hana muda na taarab za majukwaani.
Watu wanasema ukweli halafu ninyi eti mnasema vijembe.
Huyu Lowassa ni fisadi na mgonjwa sana.
Unataka ajibu nini wakati anaambiwa ukweli.
Lowassa fundi wa siasa? Mahaba niue