Nimependa siasa za Lowassa

Lowassa ni master mind, watoto wadogo maCCM wanaucheza mziki wake tu.
Mpaka waje kushtuka ni asubuhi ya October 25 Lowassa atakapoongoza matokeo kwa mbali sana dhidi ya Magufuli.
 

...mmezoea kuimbiwa taarabu hadi muimbaji koo limkauke au aanguka ndo mlidhike!...
 
Lowasa hataki taarabu yeye anadili na mambo yake na wala hacheki yupo bize na yake
 

hotuba nzima ya Lowasa imegawanywa kwa siku sitini, kwa hiyo kama anaongea kwa dakika kumi kila ahutubiapo hesabu yake ni 10 x 60. Hii ina maana hotuba nzima ya lowasa ina wastani wa dakika 600 kuisoma yote.
Hata mimi napenda aisome taratibu bila papara ili tuielewe na kwa kweli anaeleweka vizuri sana.

Lowasa ataiongoza ukawa kushinda uchaguzi huu kwa 76%
 
LOWASA IS GENEOUS Mpaka sasa ccm hawana hamu naye wamebaki wanabwabwaja tu ahadi lukuki kama kawaida yao.
siasa za lowasa ni level nyingine kiukweli hua ananikosha sana.
 

Umeona mkuu jogi eeh? Anavyoisoma taratibu ndio tunamuelewa.
Zile papara za Magufuli hadi anasema Watanzania wakichagua upinzani nchi itageuka kama Libya ndio sifa?
Taratibu ndio mwendo, na Lowassa anachanja mbuga hana muda na taarab za majukwaani.
 
Last edited by a moderator:
wale walio zoea siasa za mazoea za kubwabwaja masaa matatu uongo mtupu safari hii wataumbuka kwa geneous wa siasa.
VIVA LOWASA TUKO PAMOJA
 
LOWASA IS GENEOUS Mpaka sasa ccm hawana hamu naye wamebaki wanabwabwaja tu ahadi lukuki kama kawaida yao.
siasa za lowasa ni level nyingine kiukweli hua ananikosha sana.

Huyu mzee anastahili PhD ya HESHIMA kwakweli.
Ni mfano wa kuigwa kwa mengi sana.
 

Mabadiliko na Lowassaaaaaa, Lowassa na Mabadiliko;
Falsafa hii watu wengi hawaielewi, lakini kifupi ni kwamba Lowassa amekuja kubadilisha kila kitu cha hovyo, kuanzia ufanyaji siasa, uchumi, mahusiano ya kijamii n.k
Ana nia thabiti ya kuibadilisha nchi. toa kura kwa Lowassa upate mabadiliko
 

Kama hujawahi kuona ndio unaona sasa mwaka huu..
 
Hulka ya Lowassa iko hivyo sio mwongeaji, hata hivyo toka mwanzo alisema atafanya kampeni za kistaarabu.

Kumbuka tangu ajiuzulu kwa kashifa ya Richmond amesemwa sana si ndani ya CCM hata nje ya CCM lakini hujawahi kusikia akimjibu mtu.
 
Watu wanasema ukweli halafu ninyi eti mnasema vijembe.

Huyu Lowassa ni fisadi na mgonjwa sana.

Unataka ajibu nini wakati anaambiwa ukweli.


Watu wanataka kusikia sera! Kwani huu ukweli ndo ilani ya chama?? Hivi vichwa vyenu mnavitumia kufuga nywele tu??
 
Last edited by a moderator:
...mmezoea kuimbiwa taarabu hadi muimbaji koo limkauke au aanguka ndo mlidhike!...

Kumbukumbu zinaonyesha;
  • mwaka 1995 ilani ya ccm ilikuwa na kurasa 300
  • mwaka2000 kurasa 350
  • mwaka 2005 kurasa 380
  • mwaka 2010 kurasa 430 na
  • Mwaka huu ilani ya ccm ina kurasa 450
Ilani ya chadema kupitia ukawa ina kurasa 30 ikiwa na vipaumbele si zaidi ya 16
Lowassaa na Mabadiliko
 
Ngoyai anagombe urais kwa manufaa ya watanzanja, Pombe anautaka urais kwa ajili ya kitengo cha ccm.
 

Kwani umemsikia magufuli akimtukana mtu? Analysisi yako ni mbovu. Unamuongelea Lowasa vis a vis CCM wote. Mbona humuongelie Lowasa na Ukawa nzima vis a vis CCM yote. Matusi ya Mbowe, Hiza hukuyasikia?
 

Kwa hiyo kipi bora? kuwa fundi wa kuongea jukwaani au kuwa mtendaji mzuri mwenye vision za maana, hivi nyie Wagalatia mmerogwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…