Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
"Great Minds Discuss Ideas; Average Minds Discuss Events; Small Minds Discuss People."
Hakika mkuu, umenena vema"Great Minds Discuss Ideas; Average Minds Discuss Events; Small Minds Discuss People."
Ukifuatilia kwa makini siasa za mh Edward Lowassa utaona tofauti kubwa sana kati yake na wanasiasa wengine, lowassa amekuwa mhanga wa matusi, kebehi, kashfa na siasa za maji taka. Lakini kinachonifurahisha kuhusu huyu bwana, hakuna hata siku utamamsikia akimjibu mtu, akimtupia dongo, akimuongelea mtu. Lakini wanasiasa wengine hasa wa ccm, wamesahau kunadi sera zao na kubaki wakimjadili yeye tu na kusahau sera ya vyama vyao. Mtego huo ameingia na magufuli, amebaki akitumia muda mwingi akimuongelea lowassa!! Wakati lowassa anaongelea wakulima wasikopwe, wazee wapewe pension nk. Nimependa siasa za Lowassa, hasa kwa sababu hamjadili mtu anajadili issues.
Watanzania bwana hizo sera anazozisema kwa dakika kumi ni zipi?ulishaona wapi katika chaguzi barani africa tu mgombea ananadi sera dakika kumi?na hata kwa nchi zilizoendelea ulishawahi ona mgombea anaongea dakika kumi kunadi sera?tuache ushabiki hata kama unahitaji mabadiliko angalia hayo mabadiliko yanapatikanaje sio alimradi mabadiliko.Ukifuatilia kwa makini siasa za mh Edward Lowassa utaona tofauti kubwa sana kati yake na wanasiasa wengine, lowassa amekuwa mhanga wa matusi, kebehi, kashfa na siasa za maji taka.Watanzania bwana we umesikia sera yoyote toka kwa lowasa?kumtoa babu seya ndio sera?hizo sera anazoongea kwa dakika kumi ndio sera?uchaguzi upi barani africa ulikuta mgombea ananadi sera dakika kumi?hata huko walikoendelea kama wakati wa obama uliona akiambia watu waende mitandaoni kusoma ilani ya chama chake?acheni ushabiki muwe realistic
Lakini kinachonifurahisha kuhusu huyu bwana, hakuna hata siku utamamsikia akimjibu mtu, akimtupia dongo, akimuongelea mtu. Lakini wanasiasa wengine hasa wa ccm, wamesahau kunadi sera zao na kubaki wakimjadili yeye tu na kusahau sera ya vyama vyao. Mtego huo ameingia na magufuli, amebaki akitumia muda mwingi akimuongelea lowassa!! Wakati lowassa anaongelea wakulima wasikopwe, wazee wapewe pension nk.
Nimependa siasa za Lowassa, hasa kwa sababu hamjadili mtu anajadili issues.
Watu wanasema ukweli halafu ninyi eti mnasema vijembe.
Huyu Lowassa ni fisadi na mgonjwa sana.
Unataka ajibu nini wakati anaambiwa ukweli.