Mawaziri wa CCM ni majanga mfano Januari Makamba ameandika makala ya kiingereza kwa ustadi wa hali ya juu kusifia ki mtambo alicho muuzia JK aweze kuhutubia vizuri,
So sad.
Ukitaka kujua Mch. Msigwa alivyo na uwezo wa hali ya juu, bofya kwenye you tube na andika Msigwa afyatuka bungeni, ndiyo utakubali kuwa huyu jamaa ana uwezo wa hali ya juu wa kujenga hoja. Kuhusu hilo la tembo sina uhakika ile kesi ya Mh. Kinana kumshitaki imefikia wapi.
ile kesi aliyofungua kinana dhidi ya Msigwa mbona haianzi?
Hajadhubutu kufungua ilikuwa ni maneno tu yakujisafisha na kujifariji kwa kinana na magamba wote.
ile kesi aliyofungua kinana dhidi ya Msigwa mbona haianzi?
Mpeni Nyalandu majina ya majangili. Nilimsikia akisema hatamwonea mtu haya kumtaja na kumchukulia hatua hata kama ni kiongozi!