Nimependa hii show WCBS channell inaitangaza Tanzania _The amazing race

hiyo ni chaneli ya wapi?..

Ni ya Marekani.
ar20_2007.jpg

The Amazing Race Photos: "I Didn't Make Her Cry (Kilimanjaro, Tanzania)" on CBS.com
 
That's great at least the world can see a different side of Africa coz ordinarily they only show the slums, hungers and wars
 
Utawasikia ma ..... wanasema hiyo ni EAC ..... ..... .... patachimbika tu.
 
nakumbuka wakati mmoja nilisafiri ubelgiji mzungu mmoja huko akaniuliza nimetoka nchi gani nikamwambia tanzania akashangaa sana akaniambia kwa kweli hajawahi kusikia nchi kama hiyo basi nikamwambia tunapakana na kenya akasema kenya inatambulika sana na anaifahamu vizuri akaniambia ana rafiki amewahi safiri mbuga ya serengeti nchini kenya nikamwambia iko tz akashangaa tena akasema huyo rafiki pia alisafiri mji wa dar es salaam ambao ni mji wa pwani ya kenya nikachoka kumjibu
 
You can't be serious! Dunia ilishajua ukweli na utapeli wa wakenya uko wazi!
 
That was hilarious….many people out there are damn ignorant. You even wonder whether people don't learn geography or anything closely related. I also met a fellow whom after telling him that I come from Kenya; he was like ‘Yah I know Kenya in South Africa' ????
 
You can't be serious! Dunia ilishajua ukweli na utapeli wa wakenya uko wazi!
Sio utapeli ni marketing...biashara matangazo,huwezi kulala ofisini kama bodi yetu ya utalii inavyofanya then you expect people to just come and see what you've.Strategic marketing.
 
Hawa jamaa walikuwa Uganda hivi karibuni.Wanabadilisha sceneries tu,tusijipe hope sana.Tunabidi kukaza buti sana,bodi yetu ya utalii imelala sana,wanatumia pesa nyingi sana kwenye matangazo ambayo sidhani kama yanaleta thamani ya pesa inayotumika-value for money.Kutangaza tu kwenye viwanja vya EPL hakutoshi na wala sidhani kama kuna impact kubwa sana.Kwa nini wasi-jaribu kulipa waandishi wa novels hasa za romance wakawa wanaitaja sana Tanzania na vivutio vyake,imagine reading a Danielle Steel novel where a happy couple have a two-weeks stay in Arusha or Serengeti.kwa mabilioni wanayotengewa sidhani kama wanashindwa kuandaa marathon race ya ukweli itakayoweza kuvutia wanariadha wa kiwango cha kimataifa.Huwezi kuorganise marathon ya zawadi ya Milioni 1 ukavutia wanariadha wa kimataifa wenye ku-draw attention ya media.
 
nakumbuka wakati mmoja nilisafiri ubelgiji mzungu mmoja huko akaniuliza nimetoka nchi gani nikamwambia tanzania akashangaa sana akaniambia kwa kweli hajawahi kusikia nchi kama hiyo basi nikamwambia tunapakana na kenya akasema kenya inatambulika sana na anaifahamu vizuri akaniambia ana rafiki amewahi safiri mbuga ya serengeti nchini kenya nikamwambia iko tz akashangaa tena akasema huyo rafiki pia alisafiri mji wa dar es salaam ambao ni mji wa pwani ya kenya nikachoka kumjibu

Aha hahaaaa (penye red) huyo jamaa yako wa ubelgiji alikuwa zumbu kuku..... hata famous cities za Afrika hazijui....
hata mimi nilivyosoma post yako..... nikachoka

Back
Top Bottom