Nimependa définition hii ya mch. Gwajima

Nimependa définition hii ya mch. Gwajima

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
132
If there is anything worse,it is to die without using thé potential given to you by God.
Éducation is important and vital,but does not guarantee you success; it is a tourch to seek success which is surrounded by thé darkness Of ignorance,using thé gift given to you by God
 
Def ya mch Gwajima...! No wonder...! Hivi wanawake wana nini hasa?
 
Ndo maana mbasha akaipendenda zaidi huyu jamaa munyama
 
Gwajima anajua kizungu fresh namna hii aisee
 
Hiyo english na imagine na ile lafudhi yake ya kisukuma .....
 
Zamani watu waliaminishwa kuwa kila aliyepata utajiri wa ghafla ni pesa za freemason leo wengi wameujua ukweli! huyo gwajima kama kweli kaongea hivyo kawadis waumini wake kiaina jinsi wasivyoweza kutumia elimu zao na hekima zao vizuri kiasi cha kuendelea kumwamini.anawashangaa mno kwakweli
 
Back
Top Bottom