manshiroo
Senior Member
- Jul 2, 2012
- 150
- 138
Heshima mbele wakuu.
Mwenzenu naombeni mnipe jinsi ya kufanya hapa manake nimepatwa na kitete sijui nifanyeje.
Nimepata fursa ya kushiriki kwenye WORLD SMART PARTNERSHIP DIALOGUE itakayo fanyika hapa DSM kuanzia tarehe 26/6. Kwenye kongamano hili kutakuwa na delagation ya watu 600 na maraisi wa nchi tofauti wasiopungua 13.
Sasa mimi natakiwa nikafaye exhibition ya kitu nilichokidiscover pamoja na kukielezea mbele za watu ili niweze kuwa convice. Sasa najiuliza hivi nitawezaje mwenzenu kuelezea mbele za watu wasomi wengi namna hii?? na wenye umri mkubwa kuliko mimi?? siyo kwamba lugha haipandi la hasha wala sio kwamba siko competent na nilichodiscover hapana, manake niliwah kuexhibit kwenye mkutano lakini ulikuwa unawazawa watupu so it was ok to me ila sasa hapa naona pagumu mno. kongamano hili litakuwa la kisayansi na litahusu innovations, and new discoveries at a larger extent
je wakati najiandaa nijiandae kwa namna gani??
je what shld i fear and what i shldn't?
wenye experience ya kuparticipate kwenye international dialogues naombeni uzoefu wenu.
niko serious kama unaona huna jibu kwangu please kaa kimya na usome maoni ya wenzio ili upate experience.