fbytel0000
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 106
- 74
Kavu kavu FC.Habari za majukumu ndugu zangu. Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya uume inababuka(ni kama mapunye hivi) japo hakuna maumivu wala muwasho wowote. Nina miezi miwili toka nishiriki ngono zembe(unprotected sex) naomba ushauri wenu wandugu... asante.
Linaweza kuwa halina uhusiano piaWahi hospital mkuu ndio madhara ya kuuza mechi
yawezekana lakini magonjwa ya sehemu hizo mara nyingi chanzo ni ngonoLinaweza kuwa halina uhusiano pia
Ulipo hakuna Hospital ya karibu?Habari za majukumu ndugu zangu.
Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu...
Nilishawahi pata kipunye ila nilikuwa sijawahi shiriki tendo. Ila kwa kuwa mwamba amesema alipata chakula takribani 2 months inaweza kuwa na connectionyawezekana lakini magonjwa ya sehemu hizo mara nyingi chanzo ni ngono
Awahi hospitali kwa uchunguzi zaidiNilishawahi pata kipunye ila nilikuwa sijawahi shiriki tendo. Ila kwa kuwa mwamba amesema alipata chakula takribani 2 months inaweza kuwa na connection