Chunga msilane kimasihara...Wajameni kutangaza kutafuta mwenzi,rafiki na kadhalika hatimaye nimempata rafiki atakayenipa furaha pale nitakapokuwa bored,stress na katika furaha zangu.
Kuolewa nj automatic ,kupata rafiki ni automatic ,so asanteni nyoote kwa ushirikiano,kejeli,na shutuma za uongoo.
Namna gani hapa ndugu wasikilizaji...beki anaunawa mpira eneo la hatari...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wajameni kutangaza kutafuta mwenzi,rafiki na kadhalika hatimaye nimempata rafiki atakayenipa furaha pale nitakapokuwa bored,stress na katika furaha zangu.
Kuolewa nj automatic ,kupata rafiki ni automatic ,so asanteni nyoote kwa ushirikiano,kejeli,na shutuma za uongoo.
Pale wanapodhiaki ndipo kwenye hazina. Hongera sana mkuuWajameni kutangaza kutafuta mwenzi,rafiki na kadhalika hatimaye nimempata rafiki atakayenipa furaha pale nitakapokuwa bored,stress na katika furaha zangu.
Kuolewa nj automatic ,kupata rafiki ni automatic ,so asanteni nyoote kwa ushirikiano,kejeli,na shutuma za uongoo.
SiweziiBaada ya wiki mbili usisahau kuleta mrejesho.
Rafiki yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha mimi napenda marafiki mabusiness guru, niconnect nae basi[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app