Duuuh kweli hii noma na binadamu tuna mambo..sasa umeshampata unaempenda na umesema unahisi anakupenda halafu unataka kujua kama anakupenda wewe ni mzima au mgonjwa..eeehhh..
unanfanya nicheke sasa kama anakupenda ukichokonoa chokonoa hakupendi tena na utakuja jamii forums na kusema wanaume au wanawake wabaya ,,, kweli dunia ina mambo