baada ya miaka 10, utaonekana kana kwamba una miaka 50. Kwani kwenye mahusiano watu hufanana na mke wa miaka 40 anafanana na mme wa miaka 50.Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi, mi miaka 25 ye miaka 29... Ila tunapendana drop your comment plz!
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi, mi miaka 25 ye miaka 29... Ila tunapendana drop your comment plz!
Tofauti ya miaka minne huioni kwa sasa coz wote wabichi. Subiri akiwa 39 kwa 35, subiri akiwa 49 kwa 45.
Age is nothing but a number...we mwache yule aloimba,Sijui #Aaliya au nani, ni kwa vile nae alikuwa amependa.
Shurti umzidi mdada miaka kadhaa, lets say wewe ndo umzidi miaka minne. Hawa wapendwa wetu wanazeeka haraka...
Shaurilo.
Vijana wa umri huu (20-28)...ndiyo mnaongoza kwa kuweka post za mapenzi humu..but at that age u suppose to be out of adolesence period..
umri ni kigezo kidogo sana kwenye relationshp!
umri ni namba tu mradi mioyo yenu imeridhiana
Kwani wewe kigezo chako cha umri kilisemaje kwenye katiba ya zamani?Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi, mi miaka 25 ye miaka 29... Ila tunapendana drop your comment plz!
Kigezo cha umri sio cha kudharau hata kidogo, usije kuanza kuchepuka tu ukiona mwili wake unaanza baridi, huku ukikumbuka lile joto la zamani...