Nimepata msiba

Pole sana, Mungu awape nguvu na moyo wa subra
 
Pole kwa msiba,mola akutie moyo wa uvumilivu!
 
Pole sana mpendwa! Rip kaka yetu!!!
 
Rip our brother! Pole sana my dear! Safiri salama urudi salama!
 
Salaam wana bodi. nimefiwa na kaka huko moshi. nategemea kuondoka asubuhi kwa ajili ya mazishi kesho. nawatakieni jpili tulivu.

pole sana, mungu akutangulie na akupe faraja katika kipindi hiki!
 
Salaam wana bodi. nimefiwa na kaka huko moshi. nategemea kuondoka asubuhi kwa ajili ya mazishi kesho. nawatakieni jpili tulivu.

pole sana Mamdenyi Mungu akutangukie safarini na akupe nguvu kulikabili lililo mbele yako!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mamndenyi,Mungu akupe wepesi ktk kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana ndugu. Sote ni safari yetu huko.............!
 
ni geti ambalo sote hatuna budi kupita, cha muhimu tujipange kwa safari maana saa wala siku haijulikani.
 
Pole sana kaka yangu,Mungu awatangulie katika kipindi hiki kigumu,RIP brother.
 
bwana alitoa na bwana ametwaa...Mungu amlaze mahali pema peponi na safari njema msibani uende na kurudi salama na wape pole wafiwa woote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…