Aisee siku hizi hakuna mwema, uwe baharia ama injinia, uwe JF ama FB, uwe cutie ama HB, uwe dhahabu ama mkaa, wote matapeli tu. Mapenzi yanavyoanza lazima yawe matamu, lakini mwisho wake sasa ndo kiboko tena cha majini.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mimi:Kesho ukimaliza pepa una ratiba gani Yeye:Naenda Bagamoyo kwa ancle wangu Mimi:Then after Yeye:Baada ya hapo Nitaenda home (Bk) Mimi:Muda mrefu hatujaonana...
[emoji3] [emoji3] ,mkuu wewe ile nahau ya haraka haraka haina baraka ilikupita kushotoo,Jan si mbali lakini only 3 months to go, afu nimeambiwa hii ni I'd yake nyingine[emoji3]