Nimepata mpenzi Jf

Hahahaaaa wimbo ulio bora hongera mwaya
 
asante kwa wimbo ulio bora
 
Aha...kumbe ndio maana niliona bible ikinijia kichwani baada ya kusoma. Hayo maneno siyo ya kawaida.
Unasoma sana bible?
Kila siku nikiamka na kabla sijaenda kulala. Mwaka huu nilipanga kuisoma yote na sasa nipo Injili ya Yohana. Nikiongeza spidi nadhani nitaimaliza kabla mwaka haujaisha. Wewe husomagi?
 
100% wema ndo hulizwa mkuu
 
Umemshusha sana hadhi huyo mwanaume,
Yan unamsifia utazan demu bwana! Mwanaume msifie kwa kazi, kujali watu na kuthamin mda mengine hayo n masifa ya wadada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…