Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
😂😂😂😂😂😂Ohooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo mabaharia kama wote jf, lakini pia kuna watu wema, usiconclude kwa namna wewe ulivyo basi wote wapo hivyo, generalization ndo inafanya hata watu wema kuonekana wabovuOhooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Sanaa yako ya maneno ni nzuri. Kwanini tusiandike bible mpya tuseme tumeoteshwa kisha tuwapige mazuzu hela hapa mjini?1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,
mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi.
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,
nywele zake ni za ukoka,
nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,
ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani
kama bustani iliyojaa manukato na manemane.
5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu
6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta
7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,
kwa ujumla anapendeza.
Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,
naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,
enyi wanawake wa Jamii forum
#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, I promise to love yu forever
#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
umenichekesha sanaMwacheni tu ipo siku humu mtasikia mtu kajinyonga.
1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,
mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi.
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,
nywele zake ni za ukoka,
nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake ni kama ya hua kandokando ya kijito,
ni kama njiwa waliooga maziwa kando ya kijito.
4.Mashavu yake ni kama matuta ya rihani
kama bustani iliyojaa manukato na manemane.
5.Mikono yake imewekwa bangili za dhahabu
6.Miguu yake ni kama nguzo za alabasta
7.Kinywa chake kimejaa maneno matamu,
kwa ujumla anapendeza.
Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,
naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,
enyi wanawake wa Jamii forum
#Honey najua utapita hapa '
asante kwa kuniona katikati ya wengi, asante kwa upendo unaonipa, I promise to love yu forever
#LoveIsSomethingElseWeeSikiaTuKwaJirani
umenichekesha sana
Ni wivu Tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji4], niache kwani nikijinyonga hasara kwa nani[emoji1][emoji1]Mwacheni tu ipo siku humu mtasikia mtu kajinyonga.
Umesema vyema kabisa. Watu wapo tofauti hao wa mtaani ndio hao hao ambao wapo jfWapo mabaharia kama wote jf, lakini pia kuna watu wema, usiconclude kwa namna wewe ulivyo basi wote wapo hivyo, generalization ndo inafanya hata watu wema kuonekana wabovu
Kama baharia hata mtaani wapo
So no matter ni wapi umekutana na mtu, mtu mwema atabaki kuwa mwema na baharia baharia ova
HahahahaNi wivu Tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji4], niache kwani nikijinyonga hasara kwa nani[emoji1][emoji1]
Kwani huyu ni me?[emoji848]Dah kaka una sauti nzuri
Ukisikia uchawi ndo huu sasa!Ohooo samaki mwingine huyu amekutana na baharia ,tumpe mwezi tu atarudi hapa analialia na hizo ngonjera zake zote zitakuwa vice versa.
Mambo mengine mtuulize sisi kwanza tuwape experience.
Wewe mjaze tu mwenzioUkisikia uchawi ndo huu sasa!
Wewe baki na ubaharia wako, wanaume waamifu wapo jf, tena wengi sana!
Cc@Njopino