Kuna mdada nilimpa lift ya pikipiki (sina gari) tukabadilishana namba za simu. Baada ya kuchati siku mbili tatu tukajikuta tupo karibu, nikamtoa out kwenye kijiwe changu cha kitimoto (sorry) kumbe na yeye ni mdau wa nyama pendwa ila hapitii



.
Aisee kudate na hawa watu wenye Tabia za kisela ni raha sana.
~ Unafeel kama upo na mshkaji tu
~ Hakuna msg za kusumbuana mara baby, umekula? Unafanya nini? Baby nikuambie kitu.. hizi msg ni hatari kwa afya ya ndoa.
~ Haombi hela, ila nampa pale nitakapojisikia.
Anaweza kuwa na shida na asikwambie. Yeye starehe yake ni story na faragha kidogo. Ni mchapa kazi hategemei kupewa kama wadada wengine walivyo, yaani ni kama kidume mtafutaji.
~ Kuna siku aliangua kicheko wakati nahangaika nilitoe bao, badala ya kuonesha ushirikiano yeye akakodoa macho kunicheka ninavyohangaika



~ Ukimwita mahali hana maneno mengi, akikuambia dakika 5, kweli ndani ya muda huo anakuwa ashafika.
Wanawake wote wangekuwa ma Tom boy wanaume tusingekufa mapema
Mama Maria Nyerere yupo hai
Janet magufuli yupo
Anna Mkapa yupo
Bibi angu mzaa mama yupo ila Babu kafariki mwaka 1999
