Nimepata Kazi

Nimepata Kazi

hongera sana na ahsante kwa kutoa ushuhuda utakaowapa moyo na wenzio wanaoendelea kutafuta kazi kupitia JF
 
Jamaa wote wenye uzoefu wa mgodini wamepata...hongera sana mkuu. All the best
 
Safii, sasa kumbuka kuwahi kazini,chapa kazi kwa bidii, shirikiana na wenzako, acha vikundi kazini, mheshimu kila mtu including your subordinate na uwe na tabia kuji assess umefanya nini kwa wiki,mwezi na mwaka..:A S thumbs_up:

Namshukuru Mungu kwa kunipatia kazi STAMICO, tuendelee kumtumaini Mungu kuna siku tu kila mtu atajibiwa maombi yake.
 
Mmmh! Usikose kunirushia kavoda ka jero !!
 
Back
Top Bottom