xaidjr
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 392
- 468
Habari zenu humu ndani,
Nawasilisha kama kichwa cha habari hapo juu mimi ni diploma graduate based on accounts. Majuzi hivi nili-apply kazi moja kutoka South Africa ambayo ilihitaji watu kutoka Tanzania, ilitangazwa Zoom Tanzania.
Kwa kuwa walihitaji CV, nikawatumia kesho yake ambapo ni Jana. Mida ya saa tano nilipata email kutoka kwao wakisema wamepitia CV na wameipenda so wakanipa questionnaire. Bhasi sikuchelewa nikaijaza Nika send back to them.
Leo asubuhi wakanitumia message I got accepted and if we can communicate through WhatsApp bhasi nikawatext, wakanambia kama nina passport nikawaambia hapana, wakasema kama naweza ipata kabla ya March nikasema nitafanya hivoo, then wakanambia as soon as possible nikiipata niwaambie.
Bhasi mi kwa muda wa miezi 7 nipo nyumban nikabidi nimshirikishe mzee kuhusu passport kwa sababu yeye ndio anayejua. Alichoniambia ni kwamba tafuta kazi sehemu nyingine, South Africa sio nchi ya kwenda..
Duh! Nimefadhaika sana ukizingatia nimetuma application zaidi ya 100 hapa Tanzania I only got respond once, tena nikiambiwa tuma 20000 nikupe maswali ya interview na ukipata kazi utanipa 200,000 mshahara 900,000, nikaipotezea.
Wadau naombeni ushauri katika hili. Ni sawa kuchukua opportunity hii na kumkonvice mshua kwamba SA ni pahali pazuri ukiwa una kazi? Please msaada wanajamviii wenzangu