Nimepata kazi kwa Wachina ila sina amani nayo

Fanya tu alafu uanze kutafuta sehemu ikiacha unakuja kukaa mtaani Unakuwa jobless Fanya alafu uanzekutafuta sehemu ingine ukipata unahama fastafasta. kuna watu hawana ajira sasa hivi Mwaka wa Tano
 
kampuni ikiwa boss muhindi mchina na akiwa mweusi mwenzako jiandae kupata vidonda vya tumbo

pili iyo kazi ni sales hapo hamna bra bra nikufika target tu huwez kufika target lazima uone kazi chungu

nachokushauri andaa sales plan nzuri tafuta paypoints za huduma au bizaa mnazouza alafu utaona mambo
 
yani ukiwa huna kazi unatamani kazi ila ukiipata unaona kabisa haiwezi kukupa maisha unayoyataka.
 
Ukiona kazi kufanya kazi acha kazi uone ilivyo kazi kukaa bila kazi
Haya ni maneno ya watu waliojaa hofu ya maisha,
hofu ndio zimetusababishia vijana wa kitanzania maisha magumu,
hemu jiamini na uwe mwenye maamuzi juu ya maisha chanya kwa kesho yako,
Mimi nilishalipwa mishahara ya kiwango hicho lakini niliamua kuacha baada ya miezi mitatu nikajiajiri na leo ninaingiza zaidi ya 5milions kwa mwezi.
Hofu ndio muharibifu mkubwa juu ya hatma ya maisha yako ya kesho,
Kijana acha hofu amka.
 
Bahati mbaya sana sijaajiliw..
Napamban mwenyew mtaani
 
habari zenu wakuu nimepata kazi kwa WACHINA mshahara laki 4 hakna allowance yoyote ila sina amani nayo kabisaaaa
Mkuu, Hongera na Pole pia labda weka wazi kwa nini hauna Amani? Ikiwa ndio kazi yako ya kwanza na hauna other options komaa upate japo uzoefu tu kwa kipindi flani ila kama unakula na kulala kwenu na hauna pressure ya Maisha unaweza uka kaa kibarazani kwenu usubiri rafiki zako wa rudi makazini mpige stori!
 
Back
Top Bottom