Nimepata kazi kwa Wachina ila sina amani nayo

Unataka amani kwenye kazi ya watu!! We piga kazi mkuu, acha kujiuliza uliza, cha msingi uwe aware na mkataba wao, na mazingira ya kazi
 
What a waste of time? You might do a job that makes happier and have a lot of peace inside. You better leave that Job.

But what kind of Job are you doing?
 
walitaka kunibakia lilian wangu,nikamwambia acha kazi nitakuwa nakulipa mwenyewe,sijui wamekuwaje siku hizi ndio maana wanavichwa vidogo kama nyoka

lilian wa kiwanda cha cement cha wachina tazara?

nilikuwaga nanunua sana cement tazara kwa wachina nikakumbuka hilo jina na mengie lilian, cecy, moureen, frank
 
Ila kuna mijitu ina tamaa yaani wengine mumesikia mshahara wa laki 4 kwa mwezi afu anaacha kazi mkamubeza jamaa eti mnasema eti aache kazi aone ngumu ilivyo kupata kazi, come on acha mtu awe na amani ya moyo aisee na ndiyo kikubwa iyo laki 4 per month not a big deal hata kama umeona ww unapata kidogo ya hiyo msimubeze, Bali mpeni logical ushauri.
 
Ukiona huna amani na kazi just quit....yanini ufanye kazi usiyoipenda huna amani nayo...kiss unatafuta hela. Jilipue ondoka tafuta nyingine...ama tafuta nyingine ndio usepe.

Inapendeza ukifanya kazi ukiwa na amani na furaha.

Unatafuta hela huku umekunja sura...woiiiiiii
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom