Nimepata kazi kwa Wachina ila sina amani nayo

Mkuu niliwahi kufanya nao Kazi,nakushauri fanya tu kazi zako na si urafiki na kuzoeana wachina hawana rafiki wa kudumu na wanapenda kugawa wafanyakazi ili wapate taarifa fulani fulani
 
Ni kazi kutafuta kazi kama huna kazi, lakini ni vizur sana kutafuta kazi ukiwa ndani ya system ya kazi, sasa ukitaka kuona umuhimu wa hiyo kazi acha kazi kisha anza kutafuta kazi, ndipo utapoona Profesa J ya aliposema ukitaka kujua umuhimu wa matako kalia kichwa
 
Back
Top Bottom