Nimepata hasara kubwa sana kutokana na mechi ya Simba dhidi ya Fountain Gate

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,789
Reaction score
24,378
Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini

Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho
 
Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini. Dah, nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho!~
😆😆 kula chumvi na maji mkuu
 
Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini. Dah, nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho!~
Ungeiweka Yanga kwenye mkeka
 
Back
Top Bottom