Nenda sawa na maderevaHabari wakuu
Naomba ushauri na mwongozo
Mimi ni kijana umri 25_27 nimepata ajira kwenye kampuni flani hapa bongo ya kisafirisha mizigo nikiwa kama BM wa mkoa flani mshahara ni mnono kiasi fulani nilipo anza kazi feb mwaka huu allowance ilikua inatoka kila wiki lakini kwa sasa sipokei hata thumni mambosi awapokei cm zangu hawasemi shida nini mimi
Nafanya majukum yangu kama kawaida. Changamoto ramadhan ndo hiyooo ipo kileleni sina maandalizi yoyote ya sikukuu kwa familia yanguu leo nimepokea maombi ya kampuni flani kuwa wanataka huduma yangu niachane na hii kampuni mshahara wa kuanzia ni 40k allowance kila wiki ni 5k nifanye maamuzi gani. 🙏🙏🙏
Fanya maamuzi fulani..Habari wakuu

Kwa akili zako kuna kampuni bongo inaweza kulipa Usd 40k ....izo ni Tsh mzeeMshahara 40k?Tsh au USD?
Kwani umeolewa hapo,mda hauridi nyuma, waambie warejee makubaliano ya awali wakupe allowance zako hawataki waambie unaondoka nenda kampuni ingine hioHabari wakuu
Naomba ushauri na mwongozo
Mimi ni kijana umri 25_27 nimepata ajira kwenye kampuni flani hapa bongo ya kisafirisha mizigo nikiwa kama BM wa mkoa flani mshahara ni mnono kiasi fulani nilipo anza kazi feb mwaka huu allowance ilikua inatoka kila wiki lakini kwa sasa sipokei hata thumni mambosi awapokei cm zangu hawasemi shida nini mimi
Nafanya majukum yangu kama kawaida. Changamoto ramadhan ndo hiyooo ipo kileleni sina maandalizi yoyote ya sikukuu kwa familia yanguu leo nimepokea maombi ya kampuni flani kuwa wanataka huduma yangu niachane na hii kampuni mshahara wa kuanzia ni 40k allowance kila wiki ni 5k nifanye maamuzi gani. 🙏🙏🙏
Tunafanya KAZI kupata pesaUnapenda pesa kuliko kazi
Sababu ya ma boss wako kukufungia vioo ni kupenda pesa kuliko kazi zaoTunafanya KAZI kupata pesa
Uko dunia gani?Kwa akili zako kuna kampuni bongo inaweza kulipa Usd 40k ....izo ni Tsh mzee
Ni kwambia katika kazi aliyo pata mwanzoni kuli kuwa na posho, ila Sasa hivi hazipo na hapewi response yoyote kutoka kwa mabosi.Sijaelewa
Madam hili jina na hiyo avatar vita ni drive crazy, kila niki ona naanza ku imagine 😁😊.Usiache kazi kwasababu ya posho , posho zitakuja tu huenda kampuni haipitii kipindi kizuri.