Nimepata a possible chance TBDF je niende?

ushawahi kukaa kikosin hata week moja tu?? hyo akili ya ubish watu huwa wanaiachaga getini mzee
mkuu wanaendaga nayo kwenye uzalendo hivo ikifika intro na mwanzo wa six week pale ndo wanaiachaga completed,,,akuna mbishi kule cjawaigi kuona mimi
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Ndo maana mi na jeshi hapana kabisa...jeshini kupanda vyeo ni kujuana sana unaweza baki private miaka minne na degree yako na kozi huendi wakati huo kuna watoto wadogo ni ma captain
Hivi jeshn ukienda na degree unaanzia u private? mi nlidhan at least unaanza na kanyota duhhh mzee
 
Kumbukeni tu kwamba kuna wanaoenda JKT na baadae kuishia kurud nyumbani
mkataba unaisha, ajira hujapata. Nimekaa nao sana kambini. Hata wale waliojenga ukuta wengiwao ajira ilipokuja kutangazwa walikuwa ukuta washajenga na mkataba umeisha xo walikuwa wamerud home
 
hv jeshn ukienda na degree unaanzia u private?? mi nlidhan at least unaanza na kanyota duhhh mzee
Mzee hata ukiwa na masters unaanzia u private kasoro hawa form six wanaobaki jeshini,wanasoma Degree of military science huko huko kambini miaka mitatu wakimaliza ni Officer moja kwa moja na nyota moja
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Kumbukeni tu kwamba kuna wanaoenda JKT na baadae kuishia kurud nyumbani
mkataba unaisha, ajira hujapata. Nimekaa nao sana kambini. Hata wale waliojenga ukuta wengiwao ajira ilipokuja kutangazwa walikuwa ukuta washajenga na mkataba umeisha xo walikuwa wamerud home
Na kuna wengine hawakuitwa na ukuta walijenga wako kitaa tu
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Kama tu mtu hana yale magonjwa makuu anaweza kwenda jeshi na akahitimu mafunzo ya jeshi. Huhitaji kuanza na mazoezi ili ujiandae na jeshi. Jeshi lenyewe litakupika.

Nakumbuka Simbu alifika na moto jeshini akiomba muda wa ziada kwaajili ya mazoezi. Akajibiwa atulie atakubali show mwenyewe, na kweli kuna siku aliikubali show ya jeshi
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mzee hata ukiwa na masters unaanzia u private kasoro hawa form six wanaobaki jeshini,wanasoma Degree of military science huko huko kambini miaka mitatu wakimaliza ni Officer moja kwa moja na nyota moja
duh hii n kubwa kuliko.... lakn pia kumbka kuna form six huwa wanabaki JKT na wanarud home mkataba wao ukiisha.
ipi option nzuri kati ya kubakia huko huko (kwa wale wa mujibu) au kujitolea then unaunga tpdf
 
Kubaki huko huko ndo nzuri ila ukishakuja mtaani kujitolea ni wizi tu wanaiba muda wa vijana
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom