Nimepata a possible chance TBDF je niende?

Uandishi wako haunihusu, ila kijana nakushauri kama ni tpdf (jwtz) nenda hautakuja jutia maishayako, na ipo siku utakuja nishukuru hapa.

Ila kama ni JKT kujitolea sikushauri otherwise kama unapenda tu jeshi au upate cheti cha jkt kikusaidie kwenye michongoyako mbeleni uko, maana sikuhizi kuajiriwa ni bahati nasibu otherwise uwe na mbanga wakukushika mkono, kama si hivyo ni kama unaenda kubet maisha tu, miaka ya zamani ndo ajira zilikua nje nje tena tulikua tunachagua kabisa, watu mnasema hatutaki polisi, hatutaki magereza nk sisi ni Kivazi tu.

Ila kama mnaenda JKT kupiga kama refresher then mnaenda TPDF(JWTZ) nenda.
 
Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa ? au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted. Anything well be helpful asanteni
Mwanaume kuchanga changanya kiswanglish kama demu inakera afu unataka ukamanda..
 
Nenda mkuu
Nilikua nasikia hivyo kabla sijapita,
Ni kweli mwanzoni Kuna ugumu kidogo utatamani kutoroka ila ukishazoea ndo imetoka hiyo.
 
Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa ? au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted. Anything well be helpful asanteni

Hujaeleza ni chance gani ulopata.

Fafanua hapo ntakupa mwanga.
 
Mkuu usiumizwe na hawa Ma+@co wanaoponda mwandiko wako
Wanatabia za kidada 2.

Ila pia usiogope kuhusu unene wako.
Me kunajamaa namfahamu alikuwa mayai mayai tu lakini amefanikiwa kusota jkt miaka 3 na sasa anavaa bakabaka.

Nenda mkuu utakuja kushukuru baadae
 
Uandishi wako haunihusu, ila kijana nakushauri kama ni tpdf (jwtz) nenda hautakuja jutia maishayako, na ipo siku utakuja nishukuru hapa.

Ila kama ni JKT kujitolea sikushauri otherwise kama unapenda tu jeshi au upate cheti cha jkt kikusaidie kwenye michongoyako mbeleni uko, maana sikuhizi kuajiriwa ni bahati nasibu otherwise uwe na mbanga wakukushika mkono, kama si hivyo ni kama unaenda kubet maisha tu, miaka ya zamani ndo ajira zilikua nje nje tena tulikua tunachagua kabisa, watu mnasema hatutaki polisi, hatutaki magereza nk sisi ni Kivazi tu.

Ila kama mnaenda JKT kupiga kama refresher then mnaenda TPDF(JWTZ) nenda.
navojua mm n kwamba mtu anayebet n yule wa jkt lakn ukishafankiwa tu kuvaa baka baka ukapiga kozi ya tpdf ile ya miez sta hyo ni lazma upate ajira si ndio?
 
Uandishi wako haunihusu, ila kijana nakushauri kama ni tpdf (jwtz) nenda hautakuja jutia maishayako, na ipo siku utakuja nishukuru hapa.

Ila kama ni JKT kujitolea sikushauri otherwise kama unapenda tu jeshi au upate cheti cha jkt kikusaidie kwenye michongoyako mbeleni uko, maana sikuhizi kuajiriwa ni bahati nasibu otherwise uwe na mbanga wakukushika mkono, kama si hivyo ni kama unaenda kubet maisha tu, miaka ya zamani ndo ajira zilikua nje nje tena tulikua tunachagua kabisa, watu mnasema hatutaki polisi, hatutaki magereza nk sisi ni Kivazi tu.

Ila kama mnaenda JKT kupiga kama refresher then mnaenda TPDF(JWTZ) nenda.
japo hata jwtz nako kama ww n private yaan makaz yote magumu yanakuhusu.....hata nyumba zenu nyie maprivate znakua hadhi ya chin kuliko wale graduate na kuliko wale wa masters
n kama tu ilivogo ranks kwny kota zngine
 
Bruv, pointing out that im trying to hold myself in high regard and portraying yourself as a better in the same criticism are psychological indications of low self esteem, narcissistic tendencies and a bruised ego. Grateful for the advice
 
Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa ? au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted. Anything well be helpful asanteni
Mkuu nakushauri kwa herufi kubwa.

KAMA JESHINI HUJAITWA UKAJIUNGE AU HAKUNA MBUYU WA KUKUPA CONNECTION KULE USIJARIBU KWENDA KWA KIPINDI HIKI HASA UKIZINGATIA KUNA BATCH NYINGI ZIMEAHIDIWA AJIRA LAKINI BADO HAWAJAPEWA.

WALE WALIOAJIRIWA JUZI WASIKUFANYE UWE NA TAMAA UKIAMINI ITAKUWA RAHISI KAMA UNAVYODHANI.. WATU WANAISHIA KUJITOLEA MIAKA TELE NA HAWAAMBULII KITU PIA WAPO WANAOISHIA KUWA WALINZI KAMA SUMA SO

MALIZIA DEGREE YAKO THEN UKIONA MTAA HAUELEWEKI KABISA BHASI NENDA JESHI LAKINI JESHI SIO OPTION SAHIHI YA KUTOKA KIMAISHA KAMA UNAVYODHANI.
 
Mkuu nakushauri kwa herufi kubwa.

Lakin jamaa kwenye title amesema ameshapata possible chance ina maana tayari anauhakika wa hyo ajira kwa asilimia zote so muache akahejeke tu huko tpdf then akimaliza aanzaje kula keki ya taifa
 
Kabisaa kwenye title kasema hivyo ila maelezo naona ni tofauti ndo maana nkamshauri hivyo.. Ila kama amepataa NENDAA MKUU NASEMA WAHII FASTAA NENDA.
 
Back
Top Bottom