Nimepaliwa na kifupa cha samaki

This is the only way ya kutoa mfupa kooni, pole sana. Hamia ukerewe ujifunze jinsi ya kula samaki, mfupa hutakaa ukukwame tena

Hahaha,we Ram Ukerewe huko sitaki hata kupasikia aisee.
Uchawi nje nje,kuna watu walikuwa wanapotea hovyo mpaka leo hawajulikani wapo wapi.
Bora Sumbawanga kuliko Ukerewe kwa juju.
 
Aisee jamaa aliemeza mfupa kama namuooona vileee

Yaani ukimeza mfupa,macho yanakutoka unajua leo ndio roho hiyoooooooooo

Hahaha,hapa mungu ndio huwa anakumbukwa kama yupo,aisee

Ila utashangaa mfupa ukitoka anaenda kushushia na Ulabu kuondoa stresses kama shukrani yake kwa Mungu,kaaazi kweli
 
Hahaha,we Ram Ukerewe huko sitaki hata kupasikia aisee.
Uchawi nje nje,kuna watu walikuwa wanapotea hovyo mpaka leo hawajulikani wapo wapi.
Bora Sumbawanga kuliko Ukerewe kwa juju.

Umeona eeh! Ukerewe ni mwisho wa maneno, mamba mchana saa saba anakuibukia anafanya yake then anaondoka
 
Umeona eeh! Ukerewe ni mwisho wa maneno, mamba mchana saa saba anakuibukia anafanya yake then anaondoka

We acha,nakujua huko,alikuja Baba yangu akarudi kuja kufia Nyumbani.
Huko Habari nyingine kabisa,ndio kuna watu wakasema kwamba Ukirogwa Ukerewe basi wewe jua safari yako imefika.
Kuna watu wanatembea wafu ila wao wanawaona,na kuna jamaa anasema wapo watu wanaweza kupotea bila kujulikana wapo.Ila wale Magwiji wanajua wapo wapi na wanafanyakazi ya uenezi wa Sera zao.

Na ndio maana Ukerewe haina record ya kutembelewa na wageni,labda wale ambao wajui Ukerewe Habari yake.
Kuna watu walioa Huko mpaka leo hawajarudi,hahahaha.Maana hata kizazi chao nacho hakijarudi,kinaishia Mwanza Mjini then watu wanageuza,aiseeee we acha kabisa
 
Ukikabwa na mfupa wa samaki.........unawezaje kupata nguvu ya kupost JF.........?.........

Hapo ndipo ninapoushangaa huu mfupa yaani umpe nafasi ya kupost jf hivi anaujua mfupa wa samaki ukiwa kooni au anatania huyu
 
Ushauri wa tonge kubwa kavu la ugali ni sahihi. Hata mini nilishaponea hili.
 
Mapicha tuu. Mfupa ukukabe hutaweza ata kutoa lock kwnye cmu. Muda aliotumia kuanzisha uzi angekuwa ameshafika hospitali.
 
km umejaribu kukohoa, kumeza maji hakijatoka nenda hospital kumwona mtaalam wa ENT. Wakati mwngn chambua samaki vzr, usile haraka na usile ukiwa unaongea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom