Nimeoteshwa huyu Waziri Kipenzi kwa ' Vijana ' hapa Kisiwani Puerto Rico hayuko mbali ' Kutumbuliwa ' na Mteuwaji!

HUYU MAROPE AKIPATA UPRESDIAA SAFI SANA WANI WATU WA PWANI HAWANA CHOYO..TUTAJIPIGIA KAMA ENZI ZA KIKWETWE AMBAPO KILA MTU KWENYE MEZA YAKE ILIKUWA FURSA KILA MTU KUPATA.HUYU WA SASA KAKAZANA KUBAMA FEDHA ILI AWAJENGEE WANANCHI MABARABARA AKIZANI WANANCHI WANAMPENDA KUMBE WAPI. MAROPE CHUKUA USAUKANI TUILE NCHI KAMA ENZI ZA KIKWETE NA MWINYI..

Hiyo haiwezi kutokea.
 
Ni Waziri wa mambo ambayo yanamzunguka na yaliyo karibu na Mwanadamu yoyote yule iwe mchana au usiku ( 24/7 ) katika Serikali ya Puerto Rico aitwae Mheshimiwa Mwanzomwaka Marope ambapo katika hali isiyo ya kawaida leo nimeoteshwa kuwa muda si mrefu anaweza ' akatumbuliwa ' na ' Bosi ' wake Rais Dkt. Join Brew Padlock kwakuwa ameonekana kuwa Kipenzi na Mtetezi wa ' Wakosoaji ' wa huyo Bosi wake.

Hata hivyo namwombea sana kwa Mungu huyu Waziri ambae Kiasili kabisa anatokea katika Jimbo moja maarufu huku Puerto Rico liitwalo 'NatangaTanga ' kwani Wana Kisiwa hiki tumeanza kuona kwamba huenda anaweza akawa ni Mrithi mzuri wa Rais huyu wa sasa pale akimaliza rasmi muda wake.

Nawasilisha.
Masahihisho - Pamoja na kwamba ni waziri kijana ila hajawahi kuwa kipenzi cha vijana .
 
Hiyo ni ndoto fitinishi, mwanzomwaka marope ataendelea kudumu, kama chama chake.
 
Zimeshafika Siku nyingi Mkuu na Wewe nisalimie sana Tanzania huko uliko na hasa hasa Mohammed Dewji, IGP Sirro, RPC Mambosasa, CCTV Camera, Toyota SURF Nyeusi na Bluu na AK 47 pamoja na Pistols zake. Natamani sana kurudi huko Tanzania ila bado nahangaika kutafuta Nauli ili nirejee.
Umemsahau Swaiba Pauli Maslim
 
Wale watoto wa mjini enzi za JK ambao walitesa na kula sana maisha, awamu hii sio ya kwao. Ngosha anayo team yake ingawa na yenyewe haina uhakika wa kula maisha mpaka siku atakapoondoka pale magogoni.

Mwanzomwaka ni wale wale jamii ya uhuru wa kuongea na hulka zile zile za kupenda demokrasia za mtoto wa profesa wa mifupa na mzee universe. Waliiva na JK kwa sababu na yeye ni mule mule.
 
Ni Waziri wa mambo ambayo yanamzunguka na yaliyo karibu na Mwanadamu yoyote yule iwe mchana au usiku ( 24/7 ) katika Serikali ya Puerto Rico aitwae Mheshimiwa Mwanzomwaka Marope ambapo katika hali isiyo ya kawaida leo nimeoteshwa kuwa muda si mrefu anaweza ' akatumbuliwa ' na ' Bosi ' wake Rais Dkt. Join Brew Padlock kwakuwa ameonekana kuwa Kipenzi na Mtetezi wa ' Wakosoaji ' wa huyo Bosi wake.

Hata hivyo namwombea sana kwa Mungu huyu Waziri ambae Kiasili kabisa anatokea katika Jimbo moja maarufu huku Puerto Rico liitwalo 'NatangaTanga ' kwani Wana Kisiwa hiki tumeanza kuona kwamba huenda anaweza akawa ni Mrithi mzuri wa Rais huyu wa sasa pale akimaliza rasmi muda wake.

Nawasilisha.
Huyo ndiye alikua meneja wa vijana wa IT kule masaki wakati wa uchaguzi ngoja aiosome namba
 
Umeshamuokoa
Ni Waziri wa mambo ambayo yanamzunguka na yaliyo karibu na Mwanadamu yoyote yule iwe mchana au usiku ( 24/7 ) katika Serikali ya Puerto Rico aitwae Mheshimiwa Mwanzomwaka Marope ambapo katika hali isiyo ya kawaida leo nimeoteshwa kuwa muda si mrefu anaweza ' akatumbuliwa ' na ' Bosi ' wake Rais Dkt. Join Brew Padlock kwakuwa ameonekana kuwa Kipenzi na Mtetezi wa ' Wakosoaji ' wa huyo Bosi wake.

Hata hivyo namwombea sana kwa Mungu huyu Waziri ambae Kiasili kabisa anatokea katika Jimbo moja maarufu huku Puerto Rico liitwalo 'NatangaTanga ' kwani Wana Kisiwa hiki tumeanza kuona kwamba huenda anaweza akawa ni Mrithi mzuri wa Rais huyu wa sasa pale akimaliza rasmi muda wake.

Nawasilisha.
 
Zimeshafika Siku nyingi Mkuu na Wewe nisalimie sana Tanzania huko uliko na hasa hasa Mohammed Dewji, IGP Sirro, RPC Mambosasa, CCTV Camera, Toyota SURF Nyeusi na Bluu na AK 47 pamoja na Pistols zake. Natamani sana kurudi huko Tanzania ila bado nahangaika kutafuta Nauli ili nirejee.

Halafu we gentamycine ngoja tu, jichanganye kwenda gym huko Puerto Rico kama hujaitwa police kutolea maelezo huu uzi wako.
 
Ni Waziri wa mambo ambayo yanamzunguka na yaliyo karibu na Mwanadamu yoyote yule iwe mchana au usiku ( 24/7 ) katika Serikali ya Puerto Rico aitwae Mheshimiwa Mwanzomwaka Marope ambapo katika hali isiyo ya kawaida leo nimeoteshwa kuwa muda si mrefu anaweza ' akatumbuliwa ' na ' Bosi ' wake Rais Dkt. Join Brew Padlock kwakuwa ameonekana kuwa Kipenzi na Mtetezi wa ' Wakosoaji ' wa huyo Bosi wake.

Hata hivyo namwombea sana kwa Mungu huyu Waziri ambae Kiasili kabisa anatokea katika Jimbo moja maarufu huku Puerto Rico liitwalo 'NatangaTanga ' kwani Wana Kisiwa hiki tumeanza kuona kwamba huenda anaweza akawa ni Mrithi mzuri wa Rais huyu wa sasa pale akimaliza rasmi muda wake.

Nawasilisha.
RAMLI CHONGANISHI.
 
Umewaogopa tu bure moderators...ungefunguka tu....Anyways hizo fununu kila mtu anazisema lakini kumbuka kuwa jiwe hapangiwi....Mkikaa kimya jamaa atatumbuliwa kweli..ila Mkileta maneno Yenu hayo ujue jiwe naye ataweka pamba masikioni "maana hapangiwi"
 
huyo mwanzo wa mwaka alikuwa kwenye list kitambo..
walikuwa watatu..
1-Napita
2-Chimbahapa
3-Mwanzo wa mwaka..
kkkkkk !
 
Back
Top Bottom