Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Nianze kuwasalimu wenzangu katika forum hii, tunajua kuwa mwaka mmoja na miezi kadhaa kuelekea chaguzi za wabunge, rais na madiwani ningependa kutoa Ndoto yangu baada ya uchaguzi kufanyika punde baada ya matokeo kutangazwa.
Tunashuhudia kipindi which hama ya watu kutoka chama A kwwnda B k muda mrefu mpaka kufikia hatua ya kiongozi fulani kutoa tamko la kusitisha upokeaji wa wanachama kwa muda kipindi fulani ukweli tumeliona na kulishudia.
Tumeona hali ya siasa ikiimarika kwa upande fulani ndiyo maana uhamaji bado upo on progress ila ukiona sehemu kuna funza wengi ujue kuna "mzoga".
Acha nisoongee sana katika upande huo now twende nikakujuze kitu gani niliota
1.chama cha mapinduzi kitakuwa bado kinapeta kuingoza msukani wa kuingoza dola.
2.wabunge wengi waliohama chama cha demokrasia na maendeleo kwenda CCm watapoteza mvuto majimboni mwao hivyo wengi hawatorudi bungeni kama wanavyotarajia(kura ya maoni hawapiti)
3.Vyama pinzani vitachukua siti chache bungeni ila sijajua yupi na yupi atarudi ila zito zuberi kabwe akiwemo hivyo kwa maana hii vyama vya upinzani vitaanza kupotea katika dira hii inatokana kushindwa kujiendesha ruzuku haitatosha kujiendesha chama.
4.baadhi ya mawaziri hawatokuwepo katika Ngazi zao kama ilivyo sasa, uadui mkubwa utazuka ndani ya chama.
Mwisho niombe watanzania kwa ujumla tushikamane katika kukemea mabaya yote yanayoikumba nchi yetu, Hasa kupotea kwa vijana wetu wengi mfano mwandishi Azori, Ben na Mo dewji ukweli inasikitisha kwa hapa tulipofika kwa sasa tuliombee sana Taifa hili tubaki na Amani tuliyokuwa nayo.
Nawasilisha.