Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Nashukuru dada angu.Pole
Wanasema ndoto za mda kama huu huwa na maana mkuu..Pole ila kwa mtazamo wangu ndoto kila bunamu naamini huwa anaota sasa hapo hutegemeana hasa uchovu,mawazo yaliyokujaa kichwani na chakula ulichokula kabla ya kulala.
Ukikaa sasa ukapembua utapata jibu mwenyewe. Ndoto ya kweli kwangu huwa inatabia ya kujirudia yaan hata kama naimba au nawaza kitu fln ghafla inakuja.
Ni kwel..ndoto ya kujirudia ni ya ukwel..kuna jamaa angu amepanga kwenye nyumba moja yenye bibi ambaye ni mlemavu wa miguu..inasemekana huyo bibi ana kamati hatari...jamaa kila akianza kusinzia tu bibi anamtokea na anampiga show ile mbaya....ilitokea ndan ya wiki moja non stop ikabid ahame palePole ila kwa mtazamo wangu ndoto kila bunamu naamini huwa anaota sasa hapo hutegemeana hasa uchovu,mawazo yaliyokujaa kichwani na chakula ulichokula kabla ya kulala.
Ukikaa sasa ukapembua utapata jibu mwenyewe. Ndoto ya kweli kwangu huwa inatabia ya kujirudia yaan hata kama naimba au nawaza kitu fln ghafla inakuja.
Tuuu yaaan anaota anamchapa huyo bibi show live live auNi kwel..ndoto ya kujirudia ni ya ukwel..kuna jamaa angu amepanga kwenye nyumba moja yenye bibi ambaye ni mlemavu wa miguu..inasemekana huyo bibi ana kamati hatari...jamaa kila akianza kusinzia tu bibi anamtokea na anampiga show ile mbaya....ilitokea ndan ya wiki moja non stop ikabid ahame pale
Shukrani ndgu yangu katika imaniIzo ndoto mbaya zimekutokea bcz hukusoma dua ya kulala as a muslim
Unachotakiwa kufanya ukiota ndoto mbaya tema mate upande wako wa kushoto mara 3 hlf mlaani sheitwani hlf soma dua ya kulala au kma utaweza kachukue udhu
Mwisho ukiona sehemu huielewi soma adhana ndugu hakika ya masheitwani wakisikia adhana hukimbia mbio nyingi sana
Pia na ndoto mkuu imechangia hii ya leo ilikua too muchKusimama ni vile ni alfajiri tu.....
Umejua nn mkuuTayari nishajua
Ngoja nikuitie MTU atakayekupa msaada wa uhakika Setfree .Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee
Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo
Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake kalala kivyale, mii ile nime lala sio usingizi lakini nikastuka pap baada ya kumuona mama SUPU ambaye anatoka chumba kingine. Baada ya kumuona alikua kabeba mtoto mgongoni hapo akastuka akaniambie usiogope ndo mana nimepita huku.
Mimi baada ya kuskia hv nikatoka chap nikaenda chumbani kwa mama, nikamwambia mama humu ndani mi sipawezi, mama nikamkuta nae ameamka akasema mwannangu humu ndani leo pazito mi na mama wote tukatoka nje mama akasema mwanangu tutaa nje leo.
Baada ya kutoka nje tunakutana na watu kibao nao wakiwa na nguo za kulalia mda huo huku wakiwa wameshikwa au tuseme wamepigwa na butwaaa baada ya kuona kuna ajari hapo nje imetokea.
Katoka hiyo ajari tunaambiwa kuna mtu mmoja amekufa. Lakini mda huo dereva wa hyo gari ni jamaa anacheka cheka tu kama ndondocha.
Mda tunahsangaa ajari nakuta mama kapotea pale nje nimebaki peke angu nimezungukwa na watu wengi wamevaa pampas alafu zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..
Nikawa namwita mama huku naziba masikio mda huo gari tena silioni. Wale watu wameimba weee mpaka wakanisogelea wakanishika mkono wakawa wananipeleka makabulini.
Kufika makabulini nakutana na mama supu na kale katoto wapo uchi hapo wakanilazs makaburini alafu akaja mmama mkubwa ana minyama nyama akawa ananikalia yupo uchi huku anajisugua kama anataka kuniua sijui.
Hapo akawa analazimisha tufanye mapenzi,ila nikawa naogopa akawa anasema ili hawa waondoke ni mpaka mimi nimuingilie ,nikawa naogopa ipa nikaanza kumuingilia ila nikawa nafanya kwa uwoga mpaka akanipiga kibao cha nguvu kwenye shavu nikastuka..
Ndo nimestuka mda huu wakuu nimekuta kweli dhikili yangu imesimama nganganga ila sijajichafua..
Kingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..
Hii ndoto sijajua maana yake nini ila baada ya kustuka nimesoma
Ikhilas 1
Naas 1
Farak 1
Nashirah 1
Mwaka huu.... Plas mapepa haya alafu tunalogana mi nakula Mtu makaburini
Hakuna ndoto ya uongo na ukweli kila ndoto ina sababu labda useme kuna ndoto hazihitaji tafsiri, ndoto kujirudia rudia ni kuonyesha msisitizo tu na si kwamba hiyo ndio ndoto ya kweli tofauti na ile unayoota mara moja.Ni kwel..ndoto ya kujirudia ni ya ukwel..kuna jamaa angu amepanga kwenye nyumba moja yenye bibi ambaye ni mlemavu wa miguu..inasemekana huyo bibi ana kamati hatari...jamaa kila akianza kusinzia tu bibi anamtokea na anampiga show ile mbaya....ilitokea ndan ya wiki moja non stop ikabid ahame pale
Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee
Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota ndoto ambayo nitasimulia kama ifuatavyo
Nipo chumbani nimelala mwenyewe mda huo mama pia yupo kwake kalala kivyale, mii ile nime lala sio usingizi lakini nikastuka pap baada ya kumuona mama SUPU ambaye anatoka chumba kingine. Baada ya kumuona alikua kabeba mtoto mgongoni hapo akastuka akaniambie usiogope ndo mana nimepita huku.
Mimi baada ya kuskia hv nikatoka chap nikaenda chumbani kwa mama, nikamwambia mama humu ndani mi sipawezi, mama nikamkuta nae ameamka akasema mwannangu humu ndani leo pazito mi na mama wote tukatoka nje mama akasema mwanangu tutaa nje leo.
Baada ya kutoka nje tunakutana na watu kibao nao wakiwa na nguo za kulalia mda huo huku wakiwa wameshikwa au tuseme wamepigwa na butwaaa baada ya kuona kuna ajari hapo nje imetokea.
Katoka hiyo ajari tunaambiwa kuna mtu mmoja amekufa. Lakini mda huo dereva wa hyo gari ni jamaa anacheka cheka tu kama ndondocha.
Mda tunahsangaa ajari nakuta mama kapotea pale nje nimebaki peke angu nimezungukwa na watu wengi wamevaa pampas alafu zile pampas zimetuna kwa mbel wanaimba huku wananizunguka..
Nikawa namwita mama huku naziba masikio mda huo gari tena silioni. Wale watu wameimba weee mpaka wakanisogelea wakanishika mkono wakawa wananipeleka makabulini.
Kufika makabulini nakutana na mama supu na kale katoto wapo uchi hapo wakanilazs makaburini alafu akaja mmama mkubwa ana minyama nyama akawa ananikalia yupo uchi huku anajisugua kama anataka kuniua sijui.
Hapo akawa analazimisha tufanye mapenzi,ila nikawa naogopa akawa anasema ili hawa waondoke ni mpaka mimi nimuingilie ,nikawa naogopa ipa nikaanza kumuingilia ila nikawa nafanya kwa uwoga mpaka akanipiga kibao cha nguvu kwenye shavu nikastuka..
Ndo nimestuka mda huu wakuu nimekuta kweli dhikili yangu imesimama nganganga ila sijajichafua..
Kingine huyu mama supu ni yule maza ambaye kuna kipindi alikua anasema kwa watu kama mimi namkula kumbe uwongo hata nilikua simtaki wakuu..
Hii ndoto sijajua maana yake nini ila baada ya kustuka nimesoma
Ikhilas 1
Naas 1
Farak 1
Nashirah 1
Mwaka huu.... Plas mapepa haya alafu tunalogana mi nakula Mtu makaburini
Hapo kuna mkono wa mtu jirani yenu anawaonea wivuWakuu wasalam