Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,449
- 9,744
Ndio nimeamka mida hii, ila usingizi wangu ulikuwa wa mang'amung'amu sana, nimeota Man utd ikiwa imetoa sare ya 2-2 dhidi ya Sevilla huku mpira ukiwa umeisha na wachezaji wa Sevilla wakiongozwa na Banega wakishangilia uwanja mzima wa Old traford.
