Makini Sana
Member
- Aug 2, 2019
- 28
- 14
tukalale kulwa usiku huu kesho misa ya kwanza ujue.Anza kuonesha hujali
tukalale kulwa usiku huu kesho misa ya kwanza ujue.
Nguo ushandaa?
Mkuu umesepa kwenye group la wazee wa kuweka mzigo ujue [emoji23][emoji23][emoji23]tukalale kulwa usiku huu kesho misa ya kwanza ujue.
Nguo ushandaa?
Hv kumbe anaitwa kulwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]tukalale kulwa usiku huu kesho misa ya kwanza ujue.
Nguo ushandaa?
Wakuu Habari!!
Kuna Msichana mmoja nipo nae kwa mahusiano sema Kuna faulo moja nimefanya ya kumuonyesha nampenda sana na hii naona inapelekea kunidharau na kuniona si kitu mbele yake nimekuja hapa kuuliza jambo gani ninaweza kufanya ili turudi kama awali maana naona kama Ana dharau sana nowadays
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu unalo tayari. Umemuonyesha unampenda sana.
Hawa wenzetu wana error kwenye fikra zao ni kwamba ukimpenda sana unaonekana weak...
Yea sisemi usimpende. Mpende lakin sasa usijionyeshe sana be a man.. usiongozwe naye.. muongoze yeye hata kibabe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana chura kwanza ? Tusijepoteza muda hapa kukushauri kumbe hata chura hana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakudharau vipi?
Unapigwa ile misonyo ya kinaijeria ama?