nimeona....

rebeca

Senior Member
Dec 18, 2011
190
27
kutokuwa na shule,mwanamke sio tu inakunyima fursa za kazi nzuri na kuwa na maisha mazuri...ila pia hata wachumba na mabuzi unapata yale ya low quality lol unapata mwanaume hana shule hana kazi afu bado linataka likucontrooooooooooooooooooooool.......am 28,nimeona wanaume kwa sasa hapana.....nimefoji foji nimepata chuo kimoja huku nilipo,................ natarajia kuingia mwezi wa tisa...bsc accounting and finance..ila tatizo bichwa langu zitooooooooo nahisi watanikamata lol.....kwa vile nimeshapata offer nimeamua nianze kupiga msuli kuanzia sasa kwa hio kama wewe umesoma hio course popote mlipo naombeni mnipe ushauri ninunue vitabu gani kuanzia sasa and any assistance will do........................................... JF imekuwa shule kwangu(regia rip)......ili nisikamatwe assignment zote nitakuwa naziposti humu....hahahahahah kweli vile nitakuwa nawashirikisha kuanzia mwaka wa kwanza mpaka graduation inshalaaah.........lol,kwa nyie mliosoma uk mwageni data shule ilikuwaje,nataka uzoefu wenu...maana nahisi nimejiingiza kny maji ya kina kirefu........ila kama mmeweza hata mie nitaweza tu....lol........
 
Hahahahaha mabuzi Low Class sio?

Kila la kheri kwenye masomo bana. Siku hizi ukiwa unajua topic unagoogle tu na unapata material za kutosha. Itumie sana.
 
Hahahahaha mabuzi Low Class sio?

Kila la kheri kwenye masomo bana. Siku hizi ukiwa unajua topic unagoogle tu na unapata material za kutosha. Itumie sana.

Atleast today umeongea kwa busara.
Kumbe siku hazifanani, spoke as lady, mama wa familia, safi sana!
 
Kaaazi kweli kweli.

Dah! Nilikua nasubilia kijembe, siamini kama ndio wewe unaeandika hivyo mida hii, au kuna mtu anatumia ID yako?? Maana Mdada wewe una vishindo balaaa...hadi umetungiwa thread sio mchezo. Hahahaha.....
 
nataka nianzee mapemaaa...usongo,lol....yasije yakawa ya mkamia maji hayanywi...lol

Punguza Munkari Bidada, umeishapata sylabus?? Pata hiyo kwanza then leta topics ndio itakua imetulia. JF ni mwanzo na Mwisho, you wont walk alone sawa?
 
Am proud of u rebeca... Nipo vizuri kiasi katika hayo masomo ya accounts and finance, ushauri ni kwamba penda sana hesabu, na practise sana accounts i hope unayo background atleast debit na credit hazikupigi chenga... need any help dont hesitate..
 
Dah! Nilikua nasubilia kijembe, siamini kama ndio wewe unaeandika hivyo mida hii, au kuna mtu anatumia ID yako?? Maana Mdada wewe una vishindo balaaa...hadi umetungiwa thread sio mchezo. Hahahaha.....
Wakati mwingine natakiwa nishangae tu. . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom