wakuu habari zenu! kama tittle ilivo, nina mke mwaka wa pili sasa na tuna mtoto mmoja aliye na mwaka, tathzo lilinikumba ni kuwa mke wangu amewawi kutoa mimba mara mbili jambo ambalo limenichanganya sana. naomben ushauri kwenu nifanyeje kati ya haya? nipotezee, nimwambie au mtose kimyakimya?
hahahahaha sasa mkuu unamshauri jamaa asamehe wakati huohuo unamtia ndimu na pilipili?Ndo ushaingia ndani oga hivyo hivyo msamehe pia muendeleze maisha, maisha bila msamaha hayaendi.....
Ingawa mie nisingekubali mimba tena mara mbili na si zangu
wakuu habari zenu! kama tittle ilivo, nina mke mwaka wa pili sasa na tuna mtoto mmoja aliye na mwaka, tathzo lilinikumba ni kuwa mke wangu amewawi kutoa mimba mara mbili jambo ambalo limenichanganya sana. naomben ushauri kwenu nifanyeje kati ya haya? nipotezee, nimwambie au mtose kimyakimya?
Kama alizitoa kabla hujawa naye tatizo ni lipi? Potezea banaaa na huyo aliyekupa hizo info hawatakii mema kwenye ndoa yenu.[/
Hehehehe haloooo he kwani we alikukuta bikra wakiume au? Ukisikia wivu wakijinga ndohuo kwanza mwanaume alie timia hawezi kukubali aletewe umbea wamke wake huko nikuivunja ndoa itaacha wangapi
Unamuamini sana aliekupatia hiyo taarifa?
Wewe umesha wapatia wasichana wangapi mimba na kuwashauri wakatoe?
mkuu taarifa nimeona mwenyewe kwenye taarifa zake ndani mwetu zna hadi tarehe za matukio. bahati mbaya bnti niliyempa mimba ni yeye na nikaamua kumuoa kwa kufuata misingi ya ndoa.