cheupe dawa
Senior Member
- Apr 3, 2016
- 172
- 131
calls 67 mbavu zangu mieHuyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.
Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.
Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????
Sjamuelewa kwakweli
Sasa hivi simu yake ya 89 inaita hapa bado niamini ananienjoy???Wanaume wa siku hizi majangaaaa sana....Sasa unalalamika nn..usikute ulijinadi saaana ...ooih nipo TRA ooh nimo kwenye list ya ma DC wapya.. Unavyojiweka ndo utakavyochukuliwaaa...Unataka mambo makubwa kumbe Hata ya kodi huna... si ajabu anakuenjoy tu..Maana nujuavyo mwanamke serious hawezi omba pesa haraka ivyoo..Yaani Anakyenjoy Na pesa yako ataila Na humpati
hahaha et kwa installment umenfraishaAnyway.. Unaweza mpa kwa installment..!! Kipenda roho...
Nilimuingia kikubwakubwa sasa hata hatujapanga kukutana krshaomba pesa!!hivi kweli mademu wa iringa wamekuwa hivi?....hapana,huyu atakuwa miongoni mwa mademu wa dar!!Sorry.. Ivi kutongoza bado ipo..? Mi najua siku hizi baada ya salamu na story mbili tatu mnapanga mkutane lini tena.. Then shughuli inaishia hapo.. Mnamalizana kiutu uzima ati..!!
Inahitaji moyo sanaAnyway.. Unaweza mpa kwa installment..!! Kipenda roho...
Sasa si umpee..kumpenda unampenda ila kutoa fungu ndo balaaa..halafu wanaume wa hivi MNA wivuuu balaaa...kama ulivyowai kutokea nae kawai kukuomba ngoma Droo.Ushauri..bado kiza kuingia nenda.M-pesa Tuma..then ulete mrejesho..Ubahili tu.Sasa hivi simu yake ya 89 inaita hapa bado niamini ananienjoy???
Kisa kuitwa bebi???We si babe wa mtu aisee tuma!
Bora niwe bahili!Sasa si umpee..kumpenda unampenda ila kutoa fungu ndo balaaa..halafu wanaume wa hivi MNA wivuuu balaaa...kama ulivyowai kutokea nae kawai kukuomba ngoma Droo.Ushauri..bado kiza kuingia nenda.M-pesa Tuma..then ulete mrejesho..Ubahili tu.
Halafu sijui kanataka kusukwa au kushonwa!maana kana tunywele tudogo tudogoooSasa si umpee..kumpenda unampenda ila kutoa fungu ndo balaaa..halafu wanaume wa hivi MNA wivuuu balaaa...kama ulivyowai kutokea nae kawai kukuomba ngoma Droo.Ushauri..bado kiza kuingia nenda.M-pesa Tuma..then ulete mrejesho..Ubahili tu.
Sasa kanatumia namba nyingine kunipigia!hahaha ao wanaitwa njaa kali mkuu nikum-block tu
Naanza kuvaa kaptura mkuuNdio leo leo unapofungua account siku hiyo uanza kutumika tuma usiitwe mwanamme suruali
Ndo msiombe ombe pesa sasa!wanawake kazi tunayo