Huyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.
Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.
Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????
Sjamuelewa kwakweli
unajifanya una heelaaa!!!nasuka lakini kwa hela yangu!!
kuwa muwazi kama mwenzako utakufa njaa mjini!nasuka lakini kwa hela yangu!!
hapana Ila kidogo changu kinanitoshaunajifanya una heelaaa!!!
hahaaaaa!!ikitokea sikatai Ila siombi!anaekupenda atajua nn thamani yako!kuwa muwazi kama mwenzako utakufa njaa mjini!
teh tehfunguka babu mwambie unavutiwa sana na yeye hasa akiwa amenyoa kama vile naomi cambell
Kimbia fastaHuyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.
Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.
Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????
Sjamuelewa kwakweli
aaaah kumbe huombagi?naomba nihamie kwako..hapana Ila kidogo changu kinanitosha
hahaaaaa!!ikitokea sikatai Ila siombi!anaekupenda atajua nn thamani yako!
sawa mkuu...Kimbia fasta
umechelewa!!aaaah kumbe huombagi?naomba nihamie kwako..
una maana gani?umechelewa!!
pamejaa!halafu anakuona ujue!una maana gani?
usinitishe!!!!!roho mbaya tu..pamejaa!halafu anakuona ujue!
ushawahiwa mda Sanaa!usinitishe!!!!!roho mbaya tu..
alitoa toa pesa?ushawahiwa mda Sanaa!
pesa ya nn?!!alitoa toa pesa?
eti kwanini mizinga yao mingi ni elfu 30?Usisahau risiti
kwa hiyo ilikuwa bure?pesa ya nn?!!
Huyu dada nimekutana nae juzi kwenye gari kuja Iringa, nikamtongoza akajishaua shaua mwisho akaniambia nimpe namba ya simu atanijibu tukishaachana stand, nikampa.
Jana akanipigia na kudai amekubali ombi langu ila alishindwa kunijibu uso kwa uso kwa madai ana aibu sana. Sasa wakuu jana hiyo hiyo usiku wakati namtafutia usingizi na vidakika vyangu vya ofa mara akaniomba elfu 30 ya kusukia. Nikaeskutiiiiiiiii, yaani leo leo tu?? Nikaona haina shida, nikamwambia nakutumia kesho, yaani leo.
Sasa tangu saa 3 asubuhi anapiga simu mfululizo kuulizia! Kwani deni? Calls zishafika 67 hapa, nimemblock namba sasa anatumia namba tofauti tofauti eti "bebi mbona kimya sasa?!", mimi huyo????
Sjamuelewa kwakweli
kwani nywele zikiwa timtim papuch inabadilika mkuu?Ungepewa papuchi leo leo tu isingekuja humu kuanzisha uzi, bali ungejiona kidume sana. Mpe ngawira mrembo azidi kupendeza. Unataka akuletee papuchi huku nywele zikiwa hovyo hovyo ili upate sababu ya kumpiga chini!? Demu mwenyewe hata hajitunzi nywele hovyo hovyo! πππ
kwani nywele zikiwa timtim papuch inabadilika mkuu?