Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

Ukiona padri au mchungaji au mtume na nabii anasema hivyo, ujue yeye yalishamshinda! Yesu alishinda dhambi zote kwa maana ya kwamba hakuna dhambi yoyote ambayo hana uwezo wa kukusamehe na kukutoa kwenye madhara ya dhambi hiyo! Madhara ya dhambi au mshahara wa dhambi ni mauti! Yeye alikufa masalabani ili sisi tusihukumiwe kwa dhambi yoyote tuliyoitubu na kuiacha! Yeye anatusamehe na kutupa nguvu ya kuiacha!
 
Dunia imeisha kweli sikuhiz walokole wanaleta mambo jamiiforum badala yakupeleka kwa Mungu" mpe uroda tu kichaa apone na bao la kichaa lazma upate lilivyo heavy kutokana na mavitu anayokula kula utajuta..
 
Naomba dada ani pm, nitamtumia kwanza picha
 
Ushauri wangu kwako ni huu: Beba mafurushi yako ukaungane na kichaa mwenzio hapo majalalani, coz huyo ndo mnaendana kutwa nzima uwe unashind unalichezea hilo dushe. Mumeo unamkosea sana na soon Mungu atakulipa. ni vema ukamwacha mumeo atafute malaika mwenzake atakaishi nae vzr, we nenda zake na shetani akutangulie on your way
 


I was going through the comments with a " brain that function" detector, and that thing signaled here. Couldn't have analyzed it better.
 
Sasa mkuu kama anajua kutema mate na kusugua mmh sidhani kama akipewa papuchi atashangaa .. Nadahani anajua matumizi ha ha ha
Kumbuka wapiga puli wengi hawana nguvu za kiume.
Puli linazimaliza sana.. Zaidi huyo mama atachafuliwa tu.. Mpiga puli ashazoea joto la kiganjani na vuguvugu la mimate yake, akikutana na joto la sweet papuchi respected all over the world akiingiza tu anamaliza hapo hapo,kujenga hema hapo hadi kesho yake... Mwanamke atakuwa hajamaliza haja zake.. Au atainyonya ili isimame? Kumbuka anasex na kichaa.. Namshauri kama ana ham ya dubwasha ani pm au atulizane aache kujitafutia stress za maisha
 

Wanasema.. "Bao la chizi ni Zito"

Afu watu wengi humu mna wivu.. Hamtaki kichaa Apone ugwadu, kwanini?

Ushauri.

Siku moja jiandae, mbebe kichaa Mkate na Juice mpelekee, ukifika mpe na mchezo.. Tena kavu, utazaa GENIUS hakika.

Kila la kheri bibie.
 

ninachoweza kukwambia ni kuwa hizo ni dalili za ww kutorodhika kimapenz kutoka kwa mumeo .. najua huwez kulikiri hil hasa kama ulivyosema umeokoka lakin si dhamb kukir hicho kitu ni swala la kimaumbile... ungekuwa unaridhika wala usingeweza kumuweka akilin huyo kichaa .. nakushaur tafuta suluhisho haraka la sivyo utajikuta unazid kupoteza ham ya mapenz na mumeo kwan mkiwa mnafanya ili uridhike utajikuta unamleta akilin huyo kichaa ndio uridhike na trust me mumeo atagundua hilo badiliko kwan ni mtu atakaekuwa amekuzoea ww na body language yako mnapokuwa faragha
ushaur wangu jitafute unataka ufanyiwe nn ili uridhike then angalia mumeo amekosa kufanya nn

then tafuta wkend moja muombe mumeo ikibid fanya suprise nenden lodge mbal na hom iliwezekana hata mkoa wa jiran ambako kuna madhari nzur lakin ambayo hujaizoea chukuen chumba spend a night there.. mkiwa faragha mfanyie mumeo yale yanayofanana na ww unayotaka fanyiwa .. mfano kama unataka akuchezee kisim mnyonye then chukua mkono wake taratib peleka kwenye kisim chako.. hakikisha

la muhimu ili uridhike katika mapenz hasa kwa mwanamke ni lazima uwe mshirki wa tendo sio unalala kama gogo then unalalamika huridhishw..

so cha msing kuwa mshirik ama kwa case yako kwenye huo usiku wa away from home kuwa in control.. lakin ufanye kwa uangalifu ama taratibu usiharakishe mambo mumeo asije akapata mawazo tofaut nakuhakikishia baada ya usiku huo huyo kichaa unaweza ukabak kushangaa maumbile
yake lakin sio kulala nae kwan mara utakapota hisia utajikuta unamkumbuka mumeo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…