Jamani nimeokota moderm ya zantel lakini ni zile ambazo hazitumii line na sina cdma number ya modern hii vp naweza vp hili niweze kutumia ata kwa kutumia line yangu ya zantel kui recharge
Jamani nimeokota moderm ya zantel lakini ni zile ambazo hazitumii line na sina cdma number ya modern hii vp naweza vp hili niweze kutumia ata kwa kutumia line yangu ya zantel kui recharge
Siku hizi kuna vibomu vidogo shauri lako wewe ukafikiri moderm ukaripukiwa nyumbani hata kama inajina ogopa.Au vaa nguo za mabomu wakati ukitaka kuitumia
Hapo kwenye red sasa atarecharge vipi wakati mfumo wa kuingiza vocha katika hizi modem ni tofauti na hii tuliyozoea?we umeshasema haitumii line halafu unataka kuweka line yako huoni unataka kufanya kitu cha hatari ????
chakufanya install mordem yako halafu nunu vocha ya zantel ya buku recharge weka vocha jipijie simu utajua namba yake
na pia utaijua kama hiyo mordem ni nzima ? na kama ni mzima basi mwenye mordem alii angusha bahati mbaya na kama
ni mbovu basi ujue mwenzako aliona ni takataka kuweka ndani akatupa nje na wewe umeona uokote takataka nje unaleta ndani itakuwa kama wale waganga wa kienyeji kila akionacho anaokota anaona kitamfaa kwenye kazi zake
usikonde mwana jaribu inaweza kuwa bomba hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo
hahaha, naiba milele, ebu ngoja nitakuchekinicheck kupitia naibamilele@gmail.com nikupe mchongo wakutumia net bure 24 hrs..pia karibu kwenye blogsite yangu upate ujuzi km hizo MOLLEL PIXELS