Nimeokota hela

Nimeokota hela

Psalm_23

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2026
Posts
2,806
Reaction score
5,260
Wakuu...

Kuna ki mia mbili cha slots kimeandikwa
Tanzania nimedodosa dodosa wamenambia nicha kwenye bonanza...

Hapa nikienda kufanya exchanga napata hata shingapi?

Nb. Mimi mzaburi sichezagi mabonanza na kukitupa sitaki maana siwezi tupa hela japokuwa niya ubatili.
 
Wakuu...
kuna ki mia mbili cha slots kimeandikwa
Tanzania nimedodosa dodosa wamenambia nicha kwenye bonanza...

Hapa nikienda kufanya exchanga napata hata shingapi?

Nb. Mimi mzaburi sichezagi mabonanza na kukitupa sitaki maana siwezi tupa hela japokuwa niya ubatili.
Ya kaisari mwachie kaisari yaliyo ya Mungu mwachie Mungu mtumishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom