Nimeoa single mama

Yaani watu wengine wamezaliwa na mikosi kwa 29yrs unaoa single maza eti ananipenda sanaa hiyo ni laana chunguza ukoo wenu nani ana kuloga
Watu mnamaneno ya shombo humu, eti kwamba ana mikosi kisa tu kaoa single maza. Mie hata leo ikitokea la kutokea labda nimefikia muda natakiwa kuoa upya nitaoa single mother. Hawa watu wana akili sana kwenye maisha.
 
hadi saiv ananitambua kuwa mi ndo baba ake,naongea nae na ashatambulishwa kuwa mi ndo baba ake,ila aliambiwa akae na bibi ake tu
 
maisha anayoishi ni mazuri kuliko hata tunayoishi sisi,,
 
Mwaka 2021 kidogo nijichanganye niowe single mother ,,, ila alitaka kujichanganya mapema kunipanda kichwani.......nisipompigia simu siku nzim au kutuma sms atapiga simu huyo missed call 100 na nisipopokea anatuma sms ndefu kama gazeti😂😂😂😂......nilimpiga chini kimyakimya
 
Ungefanya vyema sana endapo ungemchukua mtoto wake na kumpenda kwa dhati. Hapo umempenda dada nusu na nusu yake ipo kwa mama yake.ile nusu kwa mama yake inaweza kupendwa na baba mzazi mwishowe inaleta connection kwa mkeo. Ni bora ufanye maamuzi kumpenda na mwanae hutojutia.
 
Kweli mtalaka hatongozwi ila hamna namna, fuata moyo wako maana hata fresh kama hana misimamo nae anamegwa
 
Siwezi na sitakuja weza kuishi na mtu akithubutu au kutamka au nikhisi anabagua mtoto wangu
Mtoto wangu kwanza
We hako katoto kanakupunguzia nin na watazaliwa ndugu zake hapo,ukishaamua kitu amua
Ukipenda boga penda na ua lake
Punguza ukali bana
 
Nguvu ya kuacha mtoto wa miaka miwili sijui wanatoa wapi hawa wanawake wa mwendokasi. Mimi mume wangu wa kupuliza alinikuta na watoto wanne kila mmoja na baba yake na alinipenda na wanangu na kutuchukua wote, sasa tuna watoto jumla tisa na mimba ya mapacha ni jeshi kubwa tunafurahia Maisha kwakweli nyumba yetu haipoi haiboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…