Mie kijana wa kiume mwenye miaka kadhaa. Nimemuoa mchumba wangu wa mda mrefu wa kike.
Naomba Mungu utubariki katika ndoa yetu.
Amen.
Hongera sana mkuu ,Mwenyezi Mungu awabariki sana ,na muwe nandoa yenye aman upendo na furaha kwapamoja viwape mafanikio makubwa sana.
Ndoa nitamu sana ndoa nitamu mno ,, wanaolalamikia ndoa kua nichungu wakati mwingine eti wanaifananisha *** ndoa na Choo cha jamii atiiii alioko ndan anataman atoke, alioko nje anataman aingie***
Huu ni msemo Wa walioshindwa ,kwanza walishindwa wangali ktk uchumba nabado wameshindwa walipooana , mwisho wakaishia kua nawatu ambao hawakupaswa kua nao..
So nikutie nguvu ,,,Mimi Muhenga nakuambia , Ndoa nitamu ,maisha yake nimatamu sana,, alafu kwanza Nitukio ambalo Mungu mwenyewe Aliona heli lafaaa ,naye akaamuru mwanamme kua na mwanamke wake mwenyewe ili:-
Kupunguza magonjwa Mf.UKIMWI.
Kua na msaidizi na sababu nyingiiiiiiii
KIKUBWA MPENDE MKE WAKO NAYE ATAKUHESHIMU .