Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,763
Soul removaler- just write " Soul taker"Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.
Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.
Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..
Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa
Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..
Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.
Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .
Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.
Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho
Wewe ka kifua Kako kabovu sana Hit ndo inataka kukutoa roho ,watu tunapuliza unalala nayo japo si salama si shauriWakuu wasalam..

Sijacheka kwakua kakosea, mimi najua hajakosea ila kaandika kwa dhumuni la kuchekesha, ndo kilichonichekesha hiyo soul removaler ilivyotajwa😂Ila JF andika maandishi 1000 bila kukosea ila andishi la 1001 ukiosea kwisha habari yako😄
Alitaka tu ufe au ulale akapigwe miti chooni na wahuni wa hapo mtaani kwenu. Bado unaye huyu demu, mpige chini mara moja akaue wengine huko mbeleni.Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.
Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.
Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..
Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa
Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..
Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.
Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .
Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.
Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho
Mi uwa navaa barakoa ndo napulizaUkiwa una puliza tu we mwenyewe unatamani umalize haraka ukapumue njee
Manifesting
Kabla ya kutumia dawa yoyote ile Kama hizo za kupuliza, ni vyema Sana usome kwanza maelekezo yake yote juu ya namna ya matumizi yake sahihi. Ni hatari kubwa sana kutumia dawa yoyote ile bila kujua namna ya matumizi yake sahihi kwanza. Ni hatari sana.!Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.
Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.
Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..
Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa
Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..
Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.
Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .
Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.
Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho
Labda anaishi kwenye handaki.Si ungefungua dirisha tu.
Chimba chako hakina dilisha?
May be there is an Aluminum casement Glass windows.Labda anaishi kwenye handaki.
Mkuu no sikufa ila nusu nusuKwa hiyo ulikufa ukarudi tena kutuandikia uzi ama?