Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,517
- 14,011
Bahati mbaya tu sikufahamu. Ila wewe ni MURANO kabisa. Ningekutoa sadaka nikaendelea kuponda na bebezWewe jamaa ukute huo ubilionea wako umeua watu sana ahahahaha ..
Mbona kama ni katili hivo faza
Unasema kapulizia lkn picha umeweka chupa za sumu!Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya maisha kama kitu ujui boraa kuuliza tu.. maana jana ilikua ni hatari mno maana mngesikia mengine.
Huyu mtu jana alikuwa anafanya jaribio la kutaka kunitoa roho ili badae aseme ni bahati mbaya.
Usiku baada ya msosi nikasema leo ngoja nimualike antiel tuje kucheki chek movie. Vishu Mtata Sio antiel dorry huyu ni mwingine..
Usiku kavizia mimi nimelala yeye kapulizia dawa alafu yeye akatoka njee .. mi nasema alivizia maana hata sababu anazotoa mi bado sijamwelewa
Wakuu hali niliyopitia acha tuu yaani yale madawa ni kama koo linakauka alafu una paliwa mda wote..
Kilichoniokoa ni kuingia chini ya kitanda huku nikiwa nimejifunika taulo puani.
Maana mlango alifunga kwa njee.
Anakuja kufungua anatoa sababu za kijinga kijinga et alikua chooni wakuu.n Kweli chooni nusu saa .
Mimi nilitamani nipulizie dawa alafu alale na yeye ili aone show yake.
Kiufupi wakuu elimu itolewe zaidi kuhusu hizi dawa maana jana niliona kabisa nadharililika maana nusu haja zinitoke aiseee
View attachment 3196221
Wewe Infropreneur unaesema Mungu hayupo sijui mara uamini ..
Jifingie room alafu puliza huu mzigo kuna vtu utaona ndo utaamini there is someone called soul removaler au mtoa roho
Inahusianaje na kutokuamini unachokiaminiDawa ya kuua mbu sprey tuwe nazo makini
Mkuu omba yatokee kwa jirani aiseeemtoa roho hayupo kifo hakihusiani na mpango wa Mungu.
nachoweza kukueleza nikwamba Hujafa Bado hujaumbika.
Ataambiwa na mumewe aiseee mimi hapana tenaPole mkuu ,mwambie dawa ikipilizwa mtu atakiwi kukaa ndani
Mmmh kuumwa nini mkuu wanguIla uta kuja kuumwa kwa sababu hiyo
Dawa ya kuua mbu na wewe kuwa mwelewa mambo madogo hayo uwelewi je ukiambiwa kuhusu shrondigerr equation utaelewa wwUnasema kapulizia lkn picha umeweka chupa za sumu!
Je, hii ndio dawa,inatibu ugonjwa gani?
Kawaida tuu mkuu mi sijali wala niniKwa hiyo mkuu unakula nke ya mtu? Unajipakulia tu style zote? Kazi ipo!!
Unataka ligi mkuuInahusianaje na kutokuamini unachokiamini
Mbu apuliziwa dawa anaumwa nini?Dawa ya kuua mbu na wewe kuwa mwelewa mambo madogo hayo uwelewi je ukiambiwa kuhusu shrondigerr equation utaelewa ww
Mazoea ya sisi wabongo ukienda dukani unasema nadaka dawa ya kuulia mbuu...Mbu apuliziwa dawa anaumwa nini?
Kinacho ua ni SUMU na SIYO DAWA.
Dawa inapotumika kinyume cha maelekezo siyo dawa tena,hiyo ni sumu.Mazoea ya sisi wabongo ukienda dukani unasema nadaka dawa ya kuulia mbuu...
Kingine dawa inaweza kuua pia kwani ujawahi sikia hilo..
So sometimes dawa inaweza kuwa sumu ni vile unavyotumia
Daah ngoja nishibe kwanza nije tubishane sawa πππππDawa inapotumika kinyume cha maelekezo siyo dawa tena,hiyo ni sumu.
Kwa nini mkuuWewe kuna akili yako inakua kama umevuta hvi mkuu
Yeah, anahitaji kuchakata.Hahahahaha
Anahitaji kuchakatwa
Kaulaza saa hz tuu πYeah, anahitaji kuchakata.
Hahaha!Kaulaza saa hz tuu π
Mkuu no sikufa ila nusu nusu
Unatoaga ushauri wa ajabu ajabuKwa nini mkuu