Nimenusurika kufa jana

Pole sana mkuu... ila usimlaumu sanaa coz kuna bahati mbaya au kujisahau kwenye kutenda jambo. Pia usije jaribu kumfanyia yeye kwa makusudi, coz inaeweza ikawa bahati mbaya na akapoteza uhai, na nafsi yake itaandama maisha yako yote.

Hilo liwe kama funzo uwe makini, usimwamini mtu kirahisi ata kama mkeo.
 
Hiyo nyumba ulolala Haina madirisha???
 
Mkuu nyumba/chumba yako/chako haina/hakina madirisha.

Huo ujinga alishawahi ufanya jamaa mmoja wakati nasoma, imefika time ya kulala mbu kadhaa wanasumbua akaanza spray hiyo dawa
 
Panda ni nini mkuu?
 
Mfungulie kesi ya attempted murder mkuu. Ingawa sina imani na hizi mahakama za bongo, but you can give it a try..
 
Asante mkuu kwa ushauri wako ..
Umeongea kitu muhimu sana hapo kuhusu kisasi na bahar mbaya..

Inawezekana nikafanya hilo.jambo ikawa ina impact kubwa sana nikaishia ndani
 
Mkuu nyumba/chumba yako/chako haina/hakina madirisha.

Huo ujinga alishawahi ufanya jamaa mmoja wakati nasoma, imefika time ya kulala mbu kadhaa wanasumbua akaanza spray hiyo dawa
Mkuu vipi jamaa hali yake..
Daaah alitoboa kweli et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…